Msajili wa vyama aombwa aifute CHADEMA

Msajili wa vyama aombwa aifute CHADEMA

wamekosa amani walipokusanyika ama kuna amani hapo tu walipo tofauti na sehemu zingine zote?
Wanadhani ikifutwa ndo amani itarejea kama imepotea?
mambo mengine yanachochoe hasira badala ya kuimarisha amani watu wawe makini wanapokuwa wanatoa hoja zao.
 
kamfute mama yako kwanza

Dah! Hii hatari sasa, mtoa mada anakosa gani hadi umtukane,kwakua habari hukuipenda ndio sababu unamtukana? Habari ni habari tu iwenzuri kwako au mbaya,lazima itolewe jifunze kuvumilia yale usio yapenda yanapotokea,hiyo ndio kanuni ya kuishi katika jamii kwani kilamtu anamawazo yake.
 
Ndo maana watu washaacha kwenda makanisani na hvyo wanaona ni bora wakajisalia scan basi. MASHEHE na VIONGOZI wengne wa dini mbona wanatuaibisha! Wajiulize kwamba hv ni kwel unaweza ukapatana na Shetani(CCM)?
 
Chadema wamefanya kosa la kiufundi kwa kufuata maelekezo ya G. Lema, huo ni mwisho wa ustawi wa chama
 
Hivi kweli CHADEMA FAMILY mnaweza kutukana viongozi wa dini walioitisha mkutano ili kutafuta Amani arusha? kweli laana ya kuwa na viongozi wazinzi ( SLAA NA JOSEPHINE NA DJ MBOWE NA JOYCE MUKYA) inaiangamiza CHADEMA , shame on you watu msio na hofu na mungu.

Nani kakuambia kuwa Arusha hakuna amani? Toa uppuuzi wako hapa
 
Hii thread ni uzushi wa kimagamba. Wala hakukuwa na mkutano kama huo.
 
Hivi kweli CHADEMA FAMILY mnaweza kutukana viongozi wa dini walioitisha mkutano ili kutafuta Amani arusha? kweli laana ya kuwa na viongozi wazinzi ( SLAA NA JOSEPHINE NA DJ MBOWE NA JOYCE MUKYA) inaiangamiza CHADEMA , shame on you watu msio na hofu na mungu.

Ni yupi katika ccm mwenye hofu ya Mungu?
Unaropoka tu!
 
Hivi kweli CHADEMA FAMILY mnaweza kutukana viongozi wa dini walioitisha mkutano ili kutafuta Amani arusha? kweli laana ya kuwa na viongozi wazinzi ( SLAA NA JOSEPHINE NA DJ MBOWE NA JOYCE MUKYA) inaiangamiza CHADEMA , shame on you watu msio na hofu na mungu.

Viongozi wa dini wenyewe kaogopa hata kuwataja we unafikiri hao ni viongozi kweli ndio maana nimesema siku hizi kuna dini nyingi
 
ahsante sana viongoz wa din kwa kuliona hili sababu cdm kimekuwa chama cha ugomvi na matatizo ya kugawa watz
 
Hilo tamko naona maaskofu wamelishwa. Lakini siyo wao waliolitoa,,labda kama litakuwa limetolewa na maaskofu uchwara.CCM MBONA MNASHINDWA KUTEKELEZA AHADI ZENU KWA WANANCHI badala yake mmeamua kupotezea kwa ku deal na CDM Kama vile mliwaahidi wananchi kwamba hamtajali maendeleo ya nchi yetu ila mtashughulika na CHADEMA.Nyie CCM suala la kupambana na CDM ndo tulilo waajili kulifanya?????.
 
Hawa si ndo wanajaza nimba mabinti kule dodoma...
 
Mapamdikizi ya Mwigulu hayo, wanahangaika tu lakin hizo ni sawa na kelele za mlango hazimnyimi mwenye nyumba usingizi
 
ndani ya viwanja vya stadium arusha viongozi wa dini maaskofu mashekh na viongozi wa vyama vya siasa wametoa rai

kwa msajili wa vyama aifute chadema kwani hawataki amani nandiyo maana leo wameigome siku ya leo

nawambia tena kuwa Godbless J Lema anaiponza chadema na ataendelea kuiponza chadema.

Sasa kuna faida gani kuendelea kuwa na chama kinacho kataa amani?
 
Last edited by a moderator:
Ndani ya viwanja vya stadium Arusha viongozi wa dini maaskofu mashekh na viongozi wa vyama vya siasa wametoa rai

Kwa msajili wa vyama aifute chadema kwani hawataki Amani nandiyo maana leo wameigome siku ya leo

Hao viongozi wa dini siasa zinawahusu nini?
 
Kwenye Tamko hilo Mtikila alikuwepo? Maana naye ni kiongozi wa dini yake .......
 
Back
Top Bottom