Msajili wa vyama aombwa aifute CHADEMA

Msajili wa vyama aombwa aifute CHADEMA

Hivi kweli CHADEMA FAMILY mnaweza kutukana viongozi wa dini walioitisha mkutano ili kutafuta Amani arusha? kweli laana ya kuwa na viongozi wazinzi ( SLAA NA JOSEPHINE NA DJ MBOWE NA JOYCE MUKYA) inaiangamiza CHADEMA , shame on you watu msio na hofu na mungu.

JK na Alkharus.
 
...kama masheikh ndo wametoa hilo tamko basi wametumwa na mwenyekiti wao...
 
...hata musa alifanya makosa mengi sana akiwaongoza wana wa israel hatimaye hakufika kaanani.hao wachungaji wakikosea Mungu anaweza kuwafuta wao kabla ya chadema kufutwa...
 
Back
Top Bottom