Msajili wa vyama aombwa aifute CHADEMA

Msajili wa vyama aombwa aifute CHADEMA

aminangalo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
974
Reaction score
190
Ndani ya viwanja vya stadium Arusha viongozi wa dini maaskofu mashekh na viongozi wa vyama vya siasa wametoa rai

Kwa msajili wa vyama aifute chadema kwani hawataki Amani nandiyo maana leo wameigome siku ya leo
 
Hujambo na Karibu.
Kongamano la Maridhiano katika Mji wa Arusha, Umeingia dosari baada Chama kishiriki kutohudhuria, Kongamano hilo la Amani likiwa na Ujumbe kutoka ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Limekuja wakati ambapo Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Kikilishutumu jeshi la polisi Mkoani Arusha kuwa ni Vinara wa uvunjaji wa Sheria, Mwenyekiti aliyeongoza ujumbe huo kutoka Makao Makuu ya Ofisi ya Msajili wa Vyama, Alisema.

Ndugu zetu Chadema hawajafika, Tuwaache wana maana yao, Hata hivyo wananchi waliokuwepo walianza kupiga kelele kuashieia hawapendi Chadema isungumzwe vibaya, Kongamano limeisha hakuna reconsiliation iliyofanyika.

Chadema kama mlengwa wa Maridhiano haya haikuonekana, Je ccm ina lengo gani kutaka Maridhiano ili hali damu za watu zimeshamwagika?
 
Wameshindwa kwa kumtumia Zitto sasa wanataka waingie wenyewe kazini! Wameumbuka haooo!!!!
 
Nchi hii imeanza lini kuruhusu siasa na dini? Katiba imesimama ?
 
Viongozi wa dini hawa wametia aibu,kama kweli wanaongozwa na roho wa Mungu wangetakiwa kujiuliza sababu za CHADEMA kuto hudhulia.KAMA WAMEPOKEA MLUNGULA WA KUANDAA HIYO EVENT BASI DHAMBI HIYO I JUU YAO.
 
Ndani ya viwanja vya stadium Arusha viongozi wa dini maaskofu mashekh na viongozi wa vyama vya siasa wametoa rai

Kwa msajili wa vyama aifute chadema kwani hawataki Amani nandiyo maana leo wameigome siku ya leo

Watafutwa wao
 
Mnajidhalilisha kuwa wasemaji kwa kutumia propaganda za MSALANI
 
wendawazimu sio lazima kulokota makopo
Ndani ya viwanja vya stadium Arusha viongozi wa dini maaskofu mashekh na viongozi wa vyama vya siasa wametoa rai

Kwa msajili wa vyama aifute chadema kwani hawataki Amani nandiyo maana leo wameigome siku ya leo
 
dada wacha aminangalo unangayembe

Ndani ya viwanja vya stadium Arusha viongozi wa dini maaskofu mashekh na viongozi wa vyama vya siasa wametoa rai

Kwa msajili wa vyama aifute chadema kwani hawataki Amani nandiyo maana leo wameigome siku ya leo
 
Hivi kweli CHADEMA FAMILY mnaweza kutukana viongozi wa dini walioitisha mkutano ili kutafuta Amani arusha? kweli laana ya kuwa na viongozi wazinzi ( SLAA NA JOSEPHINE NA DJ MBOWE NA JOYCE MUKYA) inaiangamiza CHADEMA , shame on you watu msio na hofu na mungu.
 
Mkutano huo ma shekhe nao na maaskofu walifuata nini ? Siasa kwenye Katiba yetu si Nchi haina dini ? Kwa nini leo hao wanaenda hapo ? Chadema si wadini ndiyo maana wamekataa .
 
Si waliambiwa wanauza unga?au wamekosa wateja wakaamua kuzipiga wenyewe?
 
HAO NI CCM WASIOPENDA HAKI WAKIWA KTK VAZI LA KIViNGINE NA USO WA MBUZI
 
Back
Top Bottom