Msajili awaita Lipumba na Seif

Wazo zuri, lakini unadhani hao akina Mutungi watakipa usajili?
 
Anawaita kuwaambia nini wakati MSAJILI NDIE KINARA WA MGOGORO HUU? Maalim na ujumbe wako msiende, huu ni unafiki mtupu.
 
Kwani aliye muanza mwenzake nani????
 
Your Take is from one of a disgrace to a nation! Tangu lini watu wanaitwa kujadili Ugaidi? Mbona hatuoni hayo huko Ikwiriri na Kibiti na Mkuranga? Mungu anisamehe ila ningekuwa yeye viumbe kama Lipumba na Msajili ningeshawatumia Izirail aongee nao
 
Umeshawahi kusikia UNSC ikijadili amani ya nchi zenye utulivu au amani ya nchi zenye vita?
 
hana mpango wa kwenda huko.........habari ya mjini ,,,ni usafi wa ofisi ya kafu , kesho tarehe
27/4/17.
 
hana mpango wa kwenda huko.........habari ya mjini ,,,ni usafi wa ofisi ya kafu , kesho tarehe
27/4/17.
Ni lini ofisi hizo zilikuwa chafu?acheni bongo movie....by the way ulinzi wa polisi unafanya kazi 24/7
 
Umeshawahi kusikia UNSC ikijadili amani ya nchi zenye utulivu au amani ya nchi zenye vita?
Kujadili eeh! Ndo onesheni mfano kwa kukaa meza Moja na wale wanaouwa askari wetu kule Mkuranga mjadili! Yaani maccm kujitoa ufahamu ndio Jadi yenu! Msajili ni Tatizo, Lipumba Tatizo, hebu niambie Nani WA kutatua Tatizo hapo? Jinai ni jinai, Polisi ifanye kazi yake ipasavyo, sio gutter politics za Mutungi, he is one of the most stupid judge ever lived!
 
Ninyi ndio vilaza
 
Ni lini ofisi hizo zilikuwa chafu?acheni bongo movie....by the way ulinzi wa polisi unafanya kazi 24/7
acha na wewe kuchekesha.....watu kufanya usafi ofisi yao , inahusiana na nini?,,,,,polisi kufanya kazi saa 24/7, bro
 
Kama jina lako linavyo sadiki msajili hana mamlaka ya kumfukuza mwanachama halali yoyote labda akifute chama. [emoji3] [emoji3] elimu bure sasa hivi daftari lako tu hebu kaongeze maarifa kidogo
 
Kama jina lako linavyo sadiki msajili hana mamlaka ya kumfukuza mwanachama halali yoyote labda akifute chama. [emoji3] [emoji3] elimu bure sasa hivi daftari lako tu hebu kaongeze maarifa kidogo
yaaaaani Jingalao. ha, ha, ha, ha, ha
 
Yaani Jaji Mutungi anafanya vitu kama sio msomi vile sijui kwa nini lakini.? Umekula nini wewe mzee ? Yaani unafanya mambo kama lofa kabisa wakati mtu jaji mzima?
 
Yaani Jaji Mutungi anafanya vitu kama sio msomi vile sijui kwa nini lakini.? Umekula nini wewe mzee ? Yaani unafanya mambo kama lofa kabisa wakati mtu jaji mzima?
Mkuu, anafuata maelekezo kutoka juu.
Kimsingi 'Polo-pesa' na Dokta Mihogo wangeanzisha chama chao. Nna hakika watawapata watu wao na midhali wapiga debe wao wapo sidhani kama watakwama.
 
kwa hali hii inayoendelea ndani ya cuf itasambaratisha chama hicho....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…