Msaidieni huyu plizzz

Msaidieni huyu plizzz

Lucky A

Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Imemtokea mtu wangu wa karib.Amekuwa kwenye mahusiano na bf wake kwa mda.Amepata ujauzito na akamwambia mwenzie akafurah na kukubali kuilea mimba yake.Tatizo linakuja pale yule dada anapotaka kulea mimba yk akiwa ndani ya ndoa,kwan mwanaume anasema hawawez kuoana now, na huyo dada yupo chuo anavyoijuwa familia yake inaweza jitenga nae,amemweleza mwenzie ila hataki kumwelewa anasema yeye atamtunza pamoja na ujauzito wake na kama ni chuo atamlipia cost zote mpaka amalize,wac wac wa huyo dada anashaka na huyu bf wake japo amekuwa ni mtu wa kumjali
na kuonesha upendo cku zote kwann hataki waoane?na endapo atakuja kumgeuka akiwa bado chuo itakuwaje kuhusu costs ili hali anajua mzazi wake hatokuwa tayari kumpa msaada wa aina yoyote?ina maana atakosa shule,wazaz na mme pia.Je afanyeje?abortion inaweza kuwa solution,ili abaki na wazaz na shule?au a risk akubaliane na mwenzie?
 
Abortion is not option. Kwanza anaweza kufa aspoangalia akifanya abortion. Pili abortion is not God's plan kabisa. Mamam yake angeamua kumu abort wakati alipokuwa na ujauzito wake leo hii angekuwepo?
Kumlazimisha mwananume kumuoa kwa kuhofia wazazi ni kuficha aibu yake ya ujauzito na kutengeneza maisha yasiyo na furaha hapo mbele. La msingi wakae chini kwanza na huyo mchumba wake waongee kinagaubaga juu ya hatma yao na ni watake wasitake lazima wazazi wa pande zote wajue juu ya huo ujauzito. Hakuna mzazi anayeweza kumuua mwanae kwa kukosea. Wazazi watahuzunika na kukasirika lakini miwhso wa siku damu nzito kuliko maji.
Kutafuta shortcut siku zote kwenye maisha hakuna msaada udumuo hata siku moja. Shortcut remember here is abortion. And as I said above, its not in God's interest. That will be a sin against God. Be careful. Alipokubali kufanya ngono alitakiwa ajue kuwa hiyo ni consequence mojawapo ya maamuzi yake. Face it boldly.
Maisha yanaendelea hata tunapokosea. Cha msingi tunapoanguka ni kujua kusimama na kukung'uta vumbi na kusonga mbele. Thats how life has always been.
 
Imemtokea mtu wangu wa karib.Amekuwa kwenye mahusiano na bf wake kwa mda.Amepata ujauzito na akamwambia mwenzie akafurah na kukubali kuilea mimba yake.Tatizo linakuja pale yule dada anapotaka kulea mimba yk akiwa ndani ya ndoa,kwan mwanaume anasema hawawez kuoana now, na huyo dada yupo chuo anavyoijuwa familia yake inaweza jitenga nae,amemweleza mwenzie ila hataki kumwelewa anasema yeye atamtunza pamoja na ujauzito wake na kama ni chuo atamlipia cost zote mpaka amalize,wac wac wa huyo dada anashaka na huyu bf wake japo amekuwa ni mtu wa kumjali
na kuonesha upendo cku zote kwann hataki waoane?na endapo atakuja kumgeuka akiwa bado chuo itakuwaje kuhusu costs ili hali anajua mzazi wake hatokuwa tayari kumpa msaada wa aina yoyote?ina maana atakosa shule,wazaz na mme pia.Je afanyeje?abortion inaweza kuwa solution,ili abaki na wazaz na shule?au a risk akubaliane na mwenzie?

Hapo asithubutu.

Wajaribu kutambulishana, then bdae ndo anakuja kusema hali halisi.
 
KAMA ALIYAJUA YOTE HAYO ALIRUHUSUJE MIMBA IINGIE???????????????

Huyo alitegesha kufosi ndoa !!!!!!!!! Tena akiendelea kumfosi mwenzie anaweza hata hio mimba asiileee!

Ndoa ni makubaliano, sio kuliana timing! Mtu kitu hajaamua unataka umrush kufata matakwa yako! Si upumba.vu huo? Awe mpole tu!
 
Hivi kwa nini huwa hatuna ujasiri wa kuongelea risks kama mimba ambazo zinaweza kutokea kwenye mahusiano na suluhu yake?
Wakati mwingine unakuta mwanaume anakulazimisha ubebe mimba lakini haongelei what next baada ya kubeba mimba. Na sisi wanawake tulivyo vilaza mwenyewe ndio unaona unapendwa. Jamani tusikubali kutumika kama njia ya kufullfil men's needs bila kuangalia if its favourable to U. Inavyoonekana huyo mwanaume alichokuwa anahitaji ni mtoto tu na si vinginevyo.
 
Ndoa hailazimishwi,asifanye huo ujauzito ndio uwe chanzo cha yeye kuolewa...SUBIRA HUVUTA KHERI,ampe huyo kaka muda hata kama huyo jamaa sio muoaji atapata mume mwengine mwema .
Sisi wanaadamu hatuna haki ya kuamua kusitisha uhai wa viumbe wengine kwahio simshauri atoe hio mimba,hio ni riziki kutoka kwa mola amepata shukuru japo ni kwa uzembe wake mwenyewe, na isitoshe hajui madhara atakayopata au baadae matokeo yake yatakuwaje anaweza kuhitaji kuwa na mtoto asimpate.Kumbuka watoto huleta BARAKA.Madhali huyo mwanaume amekubali kumhudumia malezi na kumsomesha ashukuru sana kwahilo kuna wengineo hata mimba zainakanwa.Namsihi asome kwa juhudi zote kwani hio elimu ndio itakayokuwa nguzo kuu katika maisha yake na ya mwanawe.
Kuhusiana na wazazi watapoa tu taratibu ni hasira na "DISAPPOINTMENT"lakini watakubali matokeo..Hakuna mwanaadamu aliyekamilika wote tunakosea na tunajifunza kutokana na makosa yetu..WATAMSAMEHE...
 
Aombe radhi kwa wazazi wake

Na siku juingine ajifunze kutumia condom
 
Ndo tatizo la watoto wa chuo, mkifika chuo tu mnajiona watu wazima na kukurupukia mambo, alitakiwa afikirie hayo yote kabla ya kubeba hiyo mimba. Akiamua kuitoa kuna matatu, Moja ni kifo, mbili ni ugumba baadae tatu anaweza kubahatika kuepuka hayo mawili hapo juu japo there's a very slim chance, na kama akiamua kubaki nayo, well, she will have to take whatever comes her way. Nisingemshauri kuitoa.The best thing she can do ni kuwaeleza family yake especially mama, najua wazazi hawatafurahia but with time watajirudi
...........regarding the bf, well wanaume hawatabiriki anaweza badilika au akaendelea kutoa huduma, it's the risk she has to take.......she will have to be strong for the baby and herself, kama hii issue inamuaffect sana ningemshauri aahirishe mwaka wa masomo kwanza,

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
Hapo asithubutu. Wajaribu kutambulishana, then bdae ndo anakuja kusema hali halisi.
Watambulishane kwa nani? Inaelekea jamaa anataka kuitwa baba tu na si mume.
Bint a revise makubaliano yao walipoanza affair,lengo lilikuwa ndoa? Kama sivyo,walipanga kuzaa? If Yes kwa conditions zipi,if No kwa nini alikubali kubeba mimba?
Mapenzi yasitutie upofu tukasahau yatokanayo.
 
nampa pole coz yameshanikuta.alee tu huyo kababy.kuhusu wazazi atafute watu wazima wamsaidie kujieleza.cku hizi wazazi wanaelewa co km zamani.nampa pole ndoa majaliwa hiyo atulie kama atamuoa haya lakini asimlazimishe asijepata balaa.tena asije akajaribu kuitoa atajutia cku moja
 
KAMA ALIYAJUA YOTE HAYO ALIRUHUSUJE MIMBA IINGIE???????????????

Huyo alitegesha kufosi ndoa !!!!!!!!! Tena akiendelea kumfosi mwenzie anaweza hata hio mimba asiileee!

Ndoa ni makubaliano, sio kuliana timing! Mtu kitu hajaamua unataka umrush kufata matakwa yako! Si upumba.vu huo? Awe mpole tu!

Nakubaliana na wewe kwa 100%.
Binafsi pia naamini kuwa kupata mimba ni uzembe maana siku hizi, achilia mbali cdms, kuna njia kadhaa za uzazi wa mpango, na kama mtu hatumii hizo vipo pia vidonge vya Emergence Contrac ambavyo hutumika kuzuia mimba zisizotarajiwa kama mtu huyo anajihisi alishiriki akiwa hatarini.

Haina maana kuforce ndoa kama mmoja hayuko tayari maana kitakachotokea hapo ni migogoro baada ya ndoa inayoweza kusababisha ndoa hiyo isifikishe hata mwaka!
 
Khaa!
Uyo shosti wako anage.nye mshindo!
Inashangaza sana! Eti yuko radhi aolewe hata wazazi wasipofurahia hili!! Hataki kukosa kote!!
Wazazi ndio mpango mzima!
Kwanini asiskilize maneno ya wazee wake?

Imemtokea mtu wangu wa karib.Amekuwa kwenye mahusiano na bf wake kwa mda.Amepata ujauzito na akamwambia mwenzie akafurah na kukubali kuilea mimba yake.Tatizo linakuja pale yule dada anapotaka kulea mimba yk akiwa ndani ya ndoa,kwan mwanaume anasema hawawez kuoana now, na huyo dada yupo chuo anavyoijuwa familia yake inaweza jitenga nae,amemweleza mwenzie ila hataki kumwelewa anasema yeye atamtunza pamoja na ujauzito wake na kama ni chuo atamlipia cost zote mpaka amalize,wac wac wa huyo dada anashaka na huyu bf wake japo amekuwa ni mtu wa kumjali
na kuonesha upendo cku zote kwann hataki waoane?na endapo atakuja kumgeuka akiwa bado chuo itakuwaje kuhusu costs ili hali anajua mzazi wake hatokuwa tayari kumpa msaada wa aina yoyote?ina maana atakosa shule,wazaz na mme pia.Je afanyeje?abortion inaweza kuwa solution,ili abaki na wazaz na shule?au a risk akubaliane na mwenzie?
 
alivyopanda mchicha alitegemea
kuvuna mpunga eee?hayo ndio matokeo
asitoe mimba bali akabiliane na lililopo mbele yake
kama jamaa ataingia mitini ajue jinsi ya kulea mtt,c alipenda tamu?!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom