Sasa ataimba nn ? Na ndio wanae mlipa?Msanii wa Singeli Msaga Sumu akitoa burudani kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani leo Mei Mosi, 2025 mkoani Singida ambako maadhimisho hayo yanafanyika kitaifa na mgeni rasmi ni Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
View attachment 3321873