Msafiri kafiri

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,928
Tuna idadi kubwa sana ya watanzania waendao China pengine kuliko nchi nyingine yoyote

Kumbuka wachina wanakula kila kitu chenye uhai..namaanisha KILA KITU ,haramu zote na visivyofikirika kuliwa
kuwa makini usije ukawa msafiri kafiri !!!angalia list hii ya baadhi walavyo wachina
Mbwa ,paka ,chura ,konokono ,panya ,funza(hasa kwa supu) kondo la nyuma ,fisi nk nk

Kumbuka baadhi ya vyakula hivyo hapo juu huuzwa kwa bei kali kwenye mahoteli ya kuanzia nyota 3,usidhani vinapatikana uswazi
 
mbona pale guanzouh pana hotel nyingi tu za wanigeria..wahindi na wabongo wanapika vyakula vya kiafrica kibao kam wali samaki sato pilao mbuzi n.k kwann ule manyoka?
 
Guanzhou kubwa ile inategemea umeshukia wapi na umepokelewa na nani ukiishi shiu shan lu au huansh lu haina noma lakini ukienda foshan ni noma
 
Back
Top Bottom