Msafara wa Siyoi na wapambe wa CCM kuchukua fomu wazomewa njia nzima

Msafara wa CCM watakuwa walipita eneo lenye ngome ya CHADEMA kuwasha moto wa kampeni.

ingependeza kama ungerusha na picha.
 
Kuna pigo la karne ndo maana wanahaha kutafuta namna ya kucheza mchezo mchafu!!!!!!!
 
Mkuu habari za kiintelijensia zilionyesha kuwa ni maandamano ya amani!!!!!!

haya wengine wakisema ni maandamano ya amani mnasema kuna tishio la alshabaab,je kwa upande wa alshabab wao walisemaje?au wao huwa hawashambulii maandamano ya gam.bas
 
Magwanda wasibwetejke sana...hata Igunga tuliyasikia haya..............
 
Hatujapewa hata mia,msafara haujazomewa.mleta mada ameleta mada ionekane nae kaleta.that'z da ril situation,acha uzandiki maji.kidumu chama cha mapinduzi

kidumu sana wakati mama yako hadi leo anavaa kanga ya kampeni za mwaka 2000 na baba yako ana katisheti kanjano ka mwaka 1995, ama kweli kazi ipo
 
naona umenitukana ngoja na mimi nimalizie ili nipewe bani usherekee!
wewe ****** tu **** la mama yako huna lolote! Unanifuatilia nini mbona kila comment yangu unaifuatilia kama mavi yako hayo?

Kwi kwi kwi kwiii! Kwe kwe kwe kweeee! We mama mbavu zangu, we mama mbavu zangu weeee! Ha ha ha haaaa!
Mkuu, kutumia lugha ya matusi ni ushahidi wa kuishiwa hoja. Tuliza munkari!
 
basi kama wamemzomea wachague chadema sasa watudhirishie kuwa kweli hawamtaki siyoi sio kutuletea ushambenga hapa
 
Huyo sioyi wana CCM wenyewe walishamkataa na kudai alitumia rushwa (kwa mujibu wa CCM) mla rushwa ni gamba hafai. Na kwa kuwa gamba lenyewe ni la kobe akilivua kafa na akiliacha bado ni kifo. So He should to chose either to kufa kwa aibu ama fedhea.
 



Na zile nyimbo' wapinzani tuwachanene tuwatupe' zilikuwa sahihi?
 
waliokuwa wanazomea wana kadi za kupiga kura?

Wewe vipi? ulitegemea wazomee wakiwa wameshikilia kadi mikononi? Mbona unaongea kama katuni flani hivi!
Jaribu kuuliza maswali ambayo yatawafanya wanaokusoma wasikudharau, au wadharau uwezo wako wa kupambanua mambo na kutunga hoja. SWALI GANI SASA HILI? unakuwa kama yule mwanaume anayemtongoza mwanamke huku ameshikilia vipimo vya HIV? wakati mwingine fikiri zaidi ya hapo ndg.:noidea::noidea::noidea::noidea:
 
Hatujapewa hata mia,msafara haujazomewa.mleta mada ameleta mada ionekane nae kaleta.that'z da ril situation,acha uzandiki maji.kidumu chama cha mapinduzi

Labda hukupewa peke yako, ...................... Wenzio unaambiwa wamelamba 20 elfu. Au ulikuwa upepewa lift kwenda kushangilia tu?? Siku hizi kazi hiyo ni deal kama hujui................. Next time ukiitwa CCM kumbuka kuvuta chako kidogo kama wenzio!!
 
Hiyo qadhia ilitokea Arusha mjini ama Arumeru Mashariki? Kama ni Arusha, haina tija
 
sishangai. hata igunga mlisema hivi hivi. kwa hiyo tusubiri tu hiyo tar i kwa uhakika zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…