Msafara wa Siyoi na wapambe wa CCM kuchukua fomu wazomewa njia nzima

Mwita25 now Take-uchi, ... Analo jingine Mama Porojo.. Aisee secretariat ya Chama Tawala watu hawa mliowatuma Jamvini trip hii Kwa Maoni yangu mngewapeleka kupima akili Na weledi wao kwenye tasnia ya majibizano.. Najitahidi sana kusoma sred zao zimejaa ulimbukeni, ushabiki bashasha, ukereketwa Na miwasho ambayo haina Hoja Wala. Inatia aibu Kwa Chama kuwakilishwa Na wanachama Kama hawa kwenye jamvi makini Kama hili. Inatupa Picha kwamba aliyebaki ndani ya Chama Kama si fisadi Basi ni maskini ya Mungu mwananchi aliyechanganyikiwa Kama hawa wawili.. Sisemi Haya kuwazogoa Bali kama mnadhani mnayo Hoja iliyojengeka Basi muipost Kwa usahihi sio kuendekeza mabishano mamboleo..
 
Tumekuwa kimya kwa zaidi ya miaka arobaini, haikutusaidia kupata watu makini, stail ya kuzomea wezi, wala rushwa naiunga mkono, hivi wewe taifodi unatarajia kuna uadilifu kwenye rushwa, sasa asikilizwe mgawa rushwa akiongozwa na mwigulu kana kwamba sisi hatuna akili sio? fikra zako zinawafaa members of motuary.

naona kila mtu humu anataka umaarufu kupitia kwangu! Why kila mtu ana oppose my argument?
 
Naunga mkono hojaaa... Leo nilikuwa maeneo ya Usa na leganga wakati msafara huo ukipita... magamba walizomewa mbaya.... Mpaka waliokuwa kwenye msafara ule waliokuwa wanaonyesha vidole viwili juu wakionyesha ya kuwa hata wao ni wafuasi wa chadema ila hela ndio ziliwafanya wawe vile.. Walikuwa wamepewa elfu 20 kwa kila mmoja.... Magamba kazi wanayo....

Hawa jamaa bila kutoa kitu kidogo hawajapata watu wakuwaunga mkono kwa lolote!!! Inavyoonyesha ni kwamba chama tawala kimezoea kuwanunua watu kwa fedha, nguo (Sijuwi zinaitwa Khanga au Vitenge, wanajua weneyewe) na kofia wakati wa kampeni halafu baada ya uchaguzi wanaishia zao na wanangoja muda unapokaribia wa uchaguzi mwingine!!
 
Nipo usa river na mimi nilikuwa kati ya watu waliokuwa wanazimea, mi nilifikiri ni hapa tu usa river tuliozomea, kumbe hata sehemu nyingine nao walizomea, juzi tulikuwa na mwigulu nchemba naye tumemweleza kuwa mwaka huu ni vidole viwili juu tu
 
wat wamekosea kuzomea kwani watajau kuwa itakula kwao na kujiandaa zaidi kuiba
 
Mwita25 now Take-uchi, ... Analo jingine Mama Porojo.. Aisee secretariat ya Chama Tawala watu hawa mliowatuma Jamvini trip hii Kwa Maoni yangu mngewapeleka kupima akili Na weledi wao kwenye tasnia ya majibizano.. Najitahidi sana kusoma sred zao zimejaa ulimbukeni, ushabiki bashasha, ukereketwa Na miwasho ambayo haina Hoja Wala. Inatia aibu Kwa Chama kuwakilishwa Na wanachama Kama hawa kwenye jamvi makini Kama hili. Inatupa Picha kwamba aliyebaki ndani ya Chama Kama si fisadi Basi ni maskini ya Mungu mwananchi aliyechanganyikiwa Kama hawa wawili.. Sisemi Haya kuwazogoa Bali kama mnadhani mnayo Hoja iliyojengeka Basi muipost Kwa usahihi sio kuendekeza mabishano mamboleo..

Duh!JF bwana nikiboko...TakeUchi ni CDM na katuanzishia thread watu tukakanyagana...!
 
Ushabiki kama huu wa kisiasa ndo umetufikisha hapa tulipo! Wananchi makini walio na elimu ya uraia hawawezi kufanya mambo ya kipuuzi kama hayo...unazomea and what next? Nilisha sema humu kuwa nchi yetu haiwezi kusonga mbele kama hatutaacha ushabiki wa kisiasa, lazima tuchambue wagombea kwa kusikiliza sera zao tu na sio vyama vyao. Naona hata humu members wanazidi kupulizia tu. Nchi yetu haitakombolewa na ccm wala chadema ama chama chochote kwa wakati huu ambao elimu ya uraia bado haijawafikia watanzania wengi! Tukiacha ushabiki huu naamini tutakuwa tunamjudge mtu kulingana na sera zake na usafi wake ktk jamii!

Pole mkuu...unaumwa halafu wewe ni nomaaaaaaa!Tehe teheeeeee!!JF bwana ...doesn't bore aisee....!
 
wamekosea kuzomea sasa kama wana hasira wazihifadhi ili wazomee kwa nguvu zote kwenye sanduku la kura hii ya kuzomea leo huwa haisaidii sana,kuna mgombea mmoja maarufu ilikua ikielezwa anashangiliwa na kusindikizwa na misafara kila alipopita kwenye uchaguzi wa 2010,mwisho wa siku wale washangiliaji wake hawakuja kumshangilia kwenye sanduku la kura na hivyo kupelekea kura zake kutotosha lawama za uchache wa kura akawa anawatumia walinda usalama wa taifa letu.
 
Hatujapewa hata mia,msafara haujazomewa.mleta mada ameleta mada ionekane nae kaleta.that'z da ril situation,acha uzandiki maji.kidumu chama cha mapinduzi
we binti tulia ubunge wa viti maalum usikutoe hekima zako,wazee wako waliheshimika sana taifa hili
 
Kwa habari ya kisadikika nasikia kwamba aliyekuwa mpinzani wa Soiy kwenye kura za maoni amesema ya kwamba hatajihusisha na kampeniza uchaguzi kwa upande aliokuwa akigombea na ikiwezekana hata uchaguzi wenyewe atasusia. Pia imebainika kwamba baadhi ya watu wakaribu zaidi na yeye wanasema wao wako tayari kusimama jukwaa moja kumnadi Nassary kwani alionekana tangu mwanzo kuwa na nguvu na uwezo zaidi kukitingisha chama tawala.
 
MMOJA WA WAHIDHIRI WAANDAMIZI CHUO KIKUU DAR ES SALAAM ALISEMA "mimi nawaandaa watoto wangu waje kuwatawala kama mimi ninvyowatawala baba zenu" WE ARE NOW STIRRING TO THAT DIRECTION
 
Hatujapewa hata mia,msafara haujazomewa.mleta mada ameleta mada ionekane nae kaleta.that'z da ril situation,acha uzandiki maji.kidumu chama cha mapinduzi

Mimi ninawasiwasi na hali yako ya kiakili,kama mtaalamu wa saikolojia ninakulebo wewe kama mtu mwenye matatizo ya akili,vitu vilikuwa laivu mbona mimi nilikuwa kwenye msafara huo na ilikuwa ni aibu tupu,fedha tulikula na kuzomewa tulizomewa,hivi wewe unadhani kila mtu anayevalia kijani ni magamba??,na bado cha moto lazima mkione,watu tuko kazini miongoni mwenu.
 
Mlizomewa sana au kidogo?
 
Back
Top Bottom