Msafara wa Siyoi na wapambe wa CCM kuchukua fomu wazomewa njia nzima

Ushabiki kama huu wa kisiasa ndo umetufikisha hapa tulipo! Wananchi makini walio na elimu ya uraia hawawezi kufanya mambo ya kipuuzi kama hayo...unazomea and what next? Nilisha sema humu kuwa nchi yetu haiwezi kusonga mbele kama hatutaacha ushabiki wa kisiasa, lazima tuchambue wagombea kwa kusikiliza sera zao tu na sio vyama vyao. Naona hata humu members wanazidi kupulizia tu. Nchi yetu haitakombolewa na ccm wala chadema ama chama chochote kwa wakati huu ambao elimu ya uraia bado haijawafikia watanzania wengi! Tukiacha ushabiki huu naamini tutakuwa tunamjudge mtu kulingana na sera zake na usafi wake ktk jamii!
 
tumewazoea huwa mnapenda kujipa matumaini hata msibani,azomewe asizomewe ccm itashinda,tunajua chadema huwa mnaadaa wahuni kuzomea watu na kwa kuwa chadema ni chama cha wahuni nazan mnaona bonge ya deal,mtatujua kwenye box

Ipo siku kinywa chako kitakiri kuwa CHADEMA ni chama cha wananchi, na sio hayo uliyoandika hapo kwenye red!
 
Ushabiki kama huu wa kisiasa ndo umetufikisha hapa tulipo! Wananchi makini walio na elimu ya uraia hawawezi kufanya mambo ya kipuuzi kama hayo...unazomea and what next? Nilisha sema humu kuwa nchi yetu haiwezi kusonga mbele kama hatutaacha ushabiki wa kisiasa, lazima tuchambue wagombea kwa kusikiliza sera zao tu na sio vyama vyao. Naona hata humu members wanazidi kupulizia tu. Nchi yetu haitakombolewa na ccm wala chadema ama chama chochote kwa wakati huu ambao elimu ya uraia bado haijawafikia watanzania wengi! Tukiacha ushabiki huu naamini tutakuwa tunamjudge mtu kulingana na sera zake na usafi wake ktk jamii!

Ama kweli wewe ni Typhoid
 
Unamuuliza nani? Waulize radio wapo ndicho chanzo cha habari
Kuzomewa na kushangiliwa ni mambo ya kawaida katika uongozi, hamna haja ya kutoka pofu mdomomni. Ila ukirudi nyumbani inabidi kutafakari ni kwanini. unaweza ukazomewa leo na ukikubali kwamba umezimewa kuna uwezekano wa kushangiliwa mbele ya safari. La sivyo utazomewa kila siku.
 
Ushabiki kama huu wa kisiasa ndo umetufikisha hapa tulipo! Wananchi makini walio na elimu ya uraia hawawezi kufanya mambo ya kipuuzi kama hayo...unazomea and what next? Nilisha sema humu kuwa nchi yetu haiwezi kusonga mbele kama hatutaacha ushabiki wa kisiasa, lazima tuchambue wagombea kwa kusikiliza sera zao tu na sio vyama vyao. Naona hata humu members wanazidi kupulizia tu. Nchi yetu haitakombolewa na ccm wala chadema ama chama chochote kwa wakati huu ambao elimu ya uraia bado haijawafikia watanzania wengi! Tukiacha ushabiki huu naamini tutakuwa tunamjudge mtu kulingana na sera zake na usafi wake ktk jamii!

wewe ndio huna elimu ya uraia, kapate darasa mwizi akija nyumbani kwako unamshangalia?
 
Wanajamii ule msafara wa ccm kumsindikiza Siyoi kuchukua fomu umejikuta katika aibu kubwa baada ya kujikuta ukizomewa njia nzima na wakazi wa maeneo walipopita kwa kwenda na kurudi huku wakazi hao wakionyesha alama ya vidole viwili kama ishara ya kuonyesha kwamba wao mapenzi yao yako kwa chadema.
Saurce: Wapo Radio.
Naomba kuwasilisha.
........du, April mosi jamaa asije badilisha jina na kujiita "Naoa Sumari"
 
wewe ndio huna elimu ya uraia, kapate darasa mwizi akija nyumbani kwako unamshangalia?

sasa mie ndugu yangu nakushangaa sana, kosa langu hapo ni lipi? Una uhakika hao wananchi wana elimu ya uraia, wamejiandikisha kupiga kura? Tatizo lako mie naona una kiherehere tu kukopy na kujibu comment yangu bila kuangalia content yake, na hilo ndo tatizo la members wengi humu, yani wengine hawataki mtu aelimishe au achangie hata siku moja, mnakuwa wakali mnataka muonekane ninyi tu! Hata kama hii forums ni ya chadema hebu msitukatishe tamaa wengine ambao hatufungamani na upande wowote:
 
Hatujapewa hata mia,msafara haujazomewa.mleta mada ameleta mada ionekane nae kaleta.that'z da ril situation,acha uzandiki maji.kidumu chama cha mapinduzi

KIGUMUUUU!!!kichaa sio lazima aokote makopo.
 
ivi upo arusha kamanda? Kama ndio iyo link ya wapo haipatikani hapa.acha kutudanganya,ulijua members must ask u source ati unabwatuka.mi nlikuwa ktk msafara na ccm wanakubalika mbaya.

wapi umeambiwa kuwa amesikia akiwa arusha au unaota ..mwaka huu lazima chupi ziwabane
 
Wee unategemea mtu awe ccm alafu awe na sera za mcngi! Utakaa sana! Hakuna kiongozi ambae atafanya kazi kupitiliza mipaka ya sera za chama. Sasa unategemea nini kama mtu yuko ccm? Kaa chonjo!
 
sasa mie ndugu yangu nakushangaa sana, kosa langu hapo ni lipi? Una uhakika hao wananchi wana elimu ya uraia, wamejiandikisha kupiga kura? Tatizo lako mie naona una kiherehere tu kukopy na kujibu comment yangu bila kuangalia content yake, na hilo ndo tatizo la members wengi humu, yani wengine hawataki mtu aelimishe au achangie hata siku moja, mnakuwa wakali mnataka muonekane ninyi tu! Hata kama hii forums ni ya chadema hebu msitukatishe tamaa wengine ambao hatufungamani na upande wowote:

content yako nimeielewa tatizo nyie wapuuzi wa ccm au vibaraka wake, hamtaki kuamini kama hamkubaliki tena Tz anagalia movie inayokuja arumeru halafu nitakutafuta tena hapa
 
ok ndugu yangu kama unaona mie ni mpuuzi wa ccm that is ur ideas! Hivi kwa stairi hii ndo tutasaidiana kuijenga nchi yetu, ndo maana nilisema na narudia kusema, nchi yetu haitajengwa na kizazi hiki chenye akili mgando, kama unashindwa hata kusoma saikologia ya mchangiaji wa mada humu, je utajua kuwachambua hata viongzi wako hao unaowaamini sana? Don't put my words into ur mouth!
 
Ushabiki kama huu wa kisiasa ndo umetufikisha hapa tulipo! Wananchi makini walio na elimu ya uraia hawawezi kufanya mambo ya kipuuzi kama hayo...unazomea and what next? Nilisha sema humu kuwa nchi yetu haiwezi kusonga mbele kama hatutaacha ushabiki wa kisiasa, lazima tuchambue wagombea kwa kusikiliza sera zao tu na sio vyama vyao. Naona hata humu members wanazidi kupulizia tu. Nchi yetu haitakombolewa na ccm wala chadema ama chama chochote kwa wakati huu ambao elimu ya uraia bado haijawafikia watanzania wengi! Tukiacha ushabiki huu naamini tutakuwa tunamjudge mtu kulingana na sera zake na usafi wake ktk jamii!

Tumekuwa kimya kwa zaidi ya miaka arobaini, haikutusaidia kupata watu makini, stail ya kuzomea wezi, wala rushwa naiunga mkono, hivi wewe taifodi unatarajia kuna uadilifu kwenye rushwa, sasa asikilizwe mgawa rushwa akiongozwa na mwigulu kana kwamba sisi hatuna akili sio? fikra zako zinawafaa members of motuary.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom