tumewazoea huwa mnapenda kujipa matumaini hata msibani,azomewe asizomewe ccm itashinda,tunajua chadema huwa mnaadaa wahuni kuzomea watu na kwa kuwa chadema ni chama cha wahuni nazan mnaona bonge ya deal,mtatujua kwenye box
Sijajua ila mwita25 alikua ana akili kidogo.huyu hana tofauti na kiazi.
Ushabiki kama huu wa kisiasa ndo umetufikisha hapa tulipo! Wananchi makini walio na elimu ya uraia hawawezi kufanya mambo ya kipuuzi kama hayo...unazomea and what next? Nilisha sema humu kuwa nchi yetu haiwezi kusonga mbele kama hatutaacha ushabiki wa kisiasa, lazima tuchambue wagombea kwa kusikiliza sera zao tu na sio vyama vyao. Naona hata humu members wanazidi kupulizia tu. Nchi yetu haitakombolewa na ccm wala chadema ama chama chochote kwa wakati huu ambao elimu ya uraia bado haijawafikia watanzania wengi! Tukiacha ushabiki huu naamini tutakuwa tunamjudge mtu kulingana na sera zake na usafi wake ktk jamii!
Kuzomewa na kushangiliwa ni mambo ya kawaida katika uongozi, hamna haja ya kutoka pofu mdomomni. Ila ukirudi nyumbani inabidi kutafakari ni kwanini. unaweza ukazomewa leo na ukikubali kwamba umezimewa kuna uwezekano wa kushangiliwa mbele ya safari. La sivyo utazomewa kila siku.Unamuuliza nani? Waulize radio wapo ndicho chanzo cha habari
Ushabiki kama huu wa kisiasa ndo umetufikisha hapa tulipo! Wananchi makini walio na elimu ya uraia hawawezi kufanya mambo ya kipuuzi kama hayo...unazomea and what next? Nilisha sema humu kuwa nchi yetu haiwezi kusonga mbele kama hatutaacha ushabiki wa kisiasa, lazima tuchambue wagombea kwa kusikiliza sera zao tu na sio vyama vyao. Naona hata humu members wanazidi kupulizia tu. Nchi yetu haitakombolewa na ccm wala chadema ama chama chochote kwa wakati huu ambao elimu ya uraia bado haijawafikia watanzania wengi! Tukiacha ushabiki huu naamini tutakuwa tunamjudge mtu kulingana na sera zake na usafi wake ktk jamii!
........du, April mosi jamaa asije badilisha jina na kujiita "Naoa Sumari"Wanajamii ule msafara wa ccm kumsindikiza Siyoi kuchukua fomu umejikuta katika aibu kubwa baada ya kujikuta ukizomewa njia nzima na wakazi wa maeneo walipopita kwa kwenda na kurudi huku wakazi hao wakionyesha alama ya vidole viwili kama ishara ya kuonyesha kwamba wao mapenzi yao yako kwa chadema.
Saurce: Wapo Radio.
Naomba kuwasilisha.
wewe ndio huna elimu ya uraia, kapate darasa mwizi akija nyumbani kwako unamshangalia?
Ama kweli wewe ni Typhoid
Hatujapewa hata mia,msafara haujazomewa.mleta mada ameleta mada ionekane nae kaleta.that'z da ril situation,acha uzandiki maji.kidumu chama cha mapinduzi
ivi upo arusha kamanda? Kama ndio iyo link ya wapo haipatikani hapa.acha kutudanganya,ulijua members must ask u source ati unabwatuka.mi nlikuwa ktk msafara na ccm wanakubalika mbaya.
unaona una akili sana kukocompare mawazo yangu na jina.
sasa mie ndugu yangu nakushangaa sana, kosa langu hapo ni lipi? Una uhakika hao wananchi wana elimu ya uraia, wamejiandikisha kupiga kura? Tatizo lako mie naona una kiherehere tu kukopy na kujibu comment yangu bila kuangalia content yake, na hilo ndo tatizo la members wengi humu, yani wengine hawataki mtu aelimishe au achangie hata siku moja, mnakuwa wakali mnataka muonekane ninyi tu! Hata kama hii forums ni ya chadema hebu msitukatishe tamaa wengine ambao hatufungamani na upande wowote:
content yako nimeielewa tatizo nyie wapuuzi wa ccm au vibaraka wake, hamtaki kuamini kama hamkubaliki tena Tz anagalia movie inayokuja arumeru halafu nitakutafuta tena hapa
hakika kwa sasa kuwa shabiki wa ccm lazima ziwe zimefyatuka kidogo.