Msafara wa Rais wa Zambia kuelekea Marekani kwenye Mkutano wa UN watumia ndege ya abiria ya Qatar Airways ili kupunguza gharama zisizo za lazima

Usilolijua ni sawa na usiku wa "kiza"....

Kuna nchi moja ambayo Rais wake anaamini sana "IMANI ZA KISHIRIKINA"....

Bwana huyo hataki kutumia "NDEGE YA RAIS-Presidential Jet" kwa kuwa anahisi mtangulizi wake "ameimwagia ndumba za kutosha" 🤣🤣🤣

#SiempreJMT
#NchiKwanza
 
View attachment 1945516

Rais mpya wa Zambia Mh Haikainde Hichilema , ameelekea Marekani kwenye Mkutano wa UN kwa kutumia usafiri wa watu wote wa ndege ya Qatar Airways , na taarifa zinaonyesha kwamba amepanda daraja la chini kabisa maarufu huko Tanzania kwa jina la (Kajamba nani)

Msafara huo mzito wa Mh Hichilema umeamua kupunguza gharama za safari kwa kuacha ndege binafsi ya Rais ili pesa itakayookolewa ijenge upya Nchi yao kwa lengo la kupunguza Umasikini .

Mh Hichilema ameongozana na maofisa wengine Watatu (3) tu .

Mungu ibariki Zambia
Bro zambia imwfilisika kabisa,hawana fedha kabisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mbwembwe za viongozi wa Afrika hizo, manake wanafahamu Waafrika wanavyoweza kudanganyika kwa vitu vidogo vidogo!
 
Sasa sijui hiyo idadi ya watu watatu walioongozana na Hichilema huitaki au vipi
Yaani unaamini kabisa kwamba rais kutoka Afrika anaweza kusafiri na ujumbe wa watu 3 kwenda UN? HIyo idadi umeipata wapi?! Mwenyewe tweet yake hii hapa 👇
Zambia.png

Kwa tabia za wanasiasa, angekuwa ameenda na watu watatu kama unavyodai wewe, angeandika hapo ili kuonesha ni jinsi gani anavyobana matumizi, na sio kuishia kuandika "...in order to keep more productive and cost effective" bila kutaja idadi. Na hapo alipoandika "..keen to engage with various crucial stakeholders for the benefit of our country", ukiisoma kwa makini hiyo sentensi utaona kabisa there's no way ujumbe unaweza kuwa wa watu watatu huku wakitaka ku-engage with various stakeholders kwa sababu unapotaka kufanya hivyo ni lazima uwe na timu ya watalaamu from "various" sectors!!
 
Hawa Viongozi ndiyo tunahitaji Afrika wenye kuithamini pesa ya walipa kodi siyo kama haya majizi, mafisadi na wabadhirifu maccm.

View attachment 1945516

Rais mpya wa Zambia Mh Haikainde Hichilema , ameelekea Marekani kwenye Mkutano wa UN kwa kutumia usafiri wa watu wote wa ndege ya Qatar Airways , na taarifa zinaonyesha kwamba amepanda daraja la chini kabisa maarufu huko Tanzania kwa jina la (Kajamba nani)

Msafara huo mzito wa Mh Hichilema umeamua kupunguza gharama za safari kwa kuacha ndege binafsi ya Rais ili pesa itakayookolewa ijenge upya Nchi yao kwa lengo la kupunguza Umasikini .

Mh Hichilema ameongozana na maofisa wengine Watatu (3) tu .

Mungu ibariki Zambia
 
Chief Hangaya atakuwa alitumia Ungo kutoka kule Mwanza walipompachika Uchifu.
Huyo kama ni kweli, anataka kuishi kwa maigizo tu, na hana muda ataonyesha rangi halisi, by the way, haoni anahatarisha usalama wa nchi endapo atadhurika nchi itaingia kwenye crisis nyingine na kuleta gharama kubwa zaidi za uchaguzi?
 
Yaani unaamini kabisa kwamba rais kutoka Afrika anaweza kusafiri na ujumbe wa watu 3 kwenda UN? HIyo idadi umeipata wapi?! Mwenyewe tweet yake hii hapa 👇
View attachment 1945538

Kwa tabia za wanasiasa, angekuwa ameenda na watu watatu kama unavyodai wewe, angeandika hapo ili kuonesha ni jinsi gani anavyobana matumizi, na sio kuishia kuandika "...in order to keep more productive and cost effective" bila kutaja idadi. Na hapo alipoandika "..keen to engage with various crucial stakeholders for the benefit of our country", ukiisoma kwa makini hiyo sentensi utaona kabisa there's no way ujumbe unaweza kuwa wa watu watatu huku wakitaka ku-engage with various stakeholders kwa sababu unapotaka kufanya hivyo ni lazima uwe na timu ya watalaamu from "various" sectors!!
😍
 
Wewe.

Tuambie ni pesa kiasi gani imeokolewa katika hiyo safari kiasi kwamba iweze kujenga UPYA ZAMBIA yote ??!
Pesa nyingi Sana hata hiyo namna ya kusafir kwa mtindo huo unatuma Salamu kwa viongoz wa chini kujiandaa kisaikolojia kubana matumizi , Rais hufuatwa na wasaidizi wake na wananchi namna ya kuongoza
 
Rais kusafiri kawaida ni kuhatarisha usalama wa nchi. Anaweza kukoregewa sumu kwenye chakula cha ndege nchi ikapata matatizo.
Unafikiri team ya predential protection hawafahamu hayo? Tena huwa wanatangulia kuangalia usalama. Kukagua atakapofika.
Ndio maana wale jamaa wapo.. kuna protocol za kiusalama zipo kabla rais hajasafiri
 
Mh.Rais Hichilema ni TAJIRI KWELIKWELI.....

Kwa kuwa ametokea UPINZANI....ni lazima aanze na SIASA HIZO ZA KUWAHAMASISHA WANAZAMBIA....mh.Hichilema anakaa nyumbani kwake badala ya Ikulu.....ni sawa na aliyekuwa Rais wa Uruguay na Rais Ahmednejad wa Iran

Wapinzani wakichukua nchi huwa na MBWEMBWE sana....ha ha ha ha

#SiempreJMT
Wampe muda mbona watamkataa

# Mama 2025
 
View attachment 1945516

Rais mpya wa Zambia Mh Haikainde Hichilema , ameelekea Marekani kwenye Mkutano wa UN kwa kutumia usafiri wa watu wote wa ndege ya Qatar Airways , na taarifa zinaonyesha kwamba amepanda daraja la chini kabisa maarufu huko Tanzania kwa jina la (Kajamba nani)

Msafara huo mzito wa Mh Hichilema umeamua kupunguza gharama za safari kwa kuacha ndege binafsi ya Rais ili pesa itakayookolewa ijenge upya Nchi yao kwa lengo la kupunguza Umasikini .

Mh Hichilema ameongozana na maofisa wengine Watatu (3) tu .

Mungu ibariki Zambia
dah ila upinzani tunakera sanaa muda mwingine.
haya mambo alikuwa anafanya magu ya kubana matumizi lakini. mbona tulikuwa tunampinga?

sera za hichilema zinafanana na za maguful ajabu huku tulikuwa tunamponda na hichilema tunamfagilia daah.
 
Hana walinzi?

Kwenye hizi trip Kuna official/formal na informal delegates

Hawezi kutetea coal economy halafu akaenda kule na watu watatu…. Yatakua ya Magu na mtasema alikua anaamua peke yake

Get me right… sipendi safari za viongozi za nje na Sipendi turudi Kwa jakaya, lakini hoja zetu ziwe substantial na sio emotional

I liked Magu freeze to travels especiallybwith Covid

But mama has other ideas

ILA video ya kwanza kumuonyesha mama na mange was wrong… watu wake wa protocol waache hizo

Mange alikua anatukana mamlaka hadi matusi ya nguoni
Elezea na Chato airport ili u-balance story.
 
Back
Top Bottom