Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,434
- 4,223
Hangaya kasha declare interest kuwa kaondoka na nsunami
Sasa sijui hiyo idadi ya watu watatu walioongozana na Hichilema huitaki au vipiDoes it change idadi if you are going Kwa private au commercial?
Jakaya used to travel Kwa commercial but Unajua walikua wanasafiri wangapi?
In bulk… wengine Swissair, wengine Emirates, wengine Qatar na wengine klm
Na Unajua privileges zao kwenye ndege? Classes za bus/cabin wanazo chukua? At least Kwa atc kuna limit ya business na first class
Unajua security details za commercial?
Unajua cost ya multiple handling yao wakiwa ughaibuni?
Unajua kwamba it may take less than 45% ya flight kulipa gharama zote za trip? So if we used ours gharama zinakuaje ?
Anyways… mkiamua kukomaa na emotions huwa mnapaki gari iliyowabebea Akili kituo cha polisi
Hana walinzi?View attachment 1945516
Rais mpya wa Zambia Mh Haikainde Hichilema , ameelekea Marekani kwenye Mkutano wa UN kwa kutumia usafiri wa watu wote wa ndege ya Qatar Airways , na taarifa zinaonyesha kwamba amepanda daraja la chini kabisa maarufu huko Tanzania kwa jina la (Kajamba nani)
Msafara huo mzito wa Mh Hichilema umeamua kupunguza gharama za safari kwa kuacha ndege binafsi ya Rais ili pesa itakayookolewa ijenge upya Nchi yao kwa lengo la kupunguza Umasikini .
Mh Hichilema ameongozana na maofisa wengine Watatu (3) tu .
Mungu ibariki Zambia
Yaani kusema ile "AIRBUS A220" imeandikwa "Ngorongoro" kwa ajili ya malengo ya kuhamasisha UTALII ni utetezi duni?!! Khaaa 😲🤣🤣utetezi duni sana !
Hana walinzi?Sasa sijui hiyo idadi ya watu watatu walioongozana na Hichilema huitaki au vipi
Nakuambia hivi, unafiki utakuua.Huendi USA lakini unajenga uwanja wa ndege porini !
Hii ni taarifa ya serikali ya Zambia , sasa kama hutaki kuiamini kutokana na kutaka kuweka usawa kati ya misafara ya viongozi wenu na wa nchi za watu basi sawaHana walinzi?
Kwenye hizi trip Kuna official/formal na informal delegates
Hawezi kutetea coal economy halafu akaenda kule na watu watatu…. Yatakua ya Magu na mtasema alikua anaamua peke yake
Get me right… sipendi safari za viongozi za nje na Sipendi turudi Kwa jakaya, lakini hoja zetu ziwe substantial na sio emotional
I liked Magu freeze to travels especiallybwith Covid
But mama has other ideas
ILA video ya kwanza kumuonyesha mama na mange was wrong… watu wake wa protocol waache hizo
Mange alikua anafuma a mamlaka hadi matusi ya nguoni
hivi uwanja wa Chato unatua ndege ipi kutoka wapi ?Nakuambia hivi, unafiki utakuua.
Usinijue sanaHii ni taarifa ya serikali ya Zambia , sasa kama hutaki kuiamini kutokana na kutaka kuweka usawa kati ya misafara ya viongozi wenu na wa nchi za watu basi sawa
Alijenga Samia?hivi uwanja wa Chato unatua ndege ipi kutoka wapi ?
🤣🤣Hii ni taarifa ya serikali ya Zambia , sasa kama hutaki kuiamini kutokana na kutaka kuweka usawa kati ya misafara ya viongozi wenu na wa nchi za watu basi sawa
Waulize ATCL.hivi uwanja wa Chato unatua ndege ipi kutoka wapi ?
Wala hiyo sababu yako haina mashiko , hiyo royal tour, imeanza lini, mbona toka nyuma marais wetu kila wanapokwenda nje lazima watumie ndege binafsi?kulinganisha na baadhi ya marais wa wengine wa afrika, mfano , kenyata kuna baadhi ya safari hutumia ndege za abiria!!leo una mtetea kuwa ni sawa, kesho akiacha kuitumia tena utarudi hapa na kumpongeza, hapo ndio huwa siwaelewi mnasimamia wapi?Umesahau malengo ya ROYAL TOUR?!!
Rais anasafiri na ndege yetu lengo likiwa ni kuitangaza TANZANIA KIUTALII kipindi hiki cha CORONA....
Ndio maana UTAWALA wa awamu ya 5 ukaziandika maneno ya "kitalii" katika mbavu za ndege hizo.....
Mfano "AIRBUS A220" imeandikwa "Ngorongoro"....
#SiempreJMT
Who are you by the way ? si kila nchi inafanya kama kwenu na haitakuja kutokeaUsinijue sana
Lakini najua ninaxhoongea
Alikuwa hasafiri tulikuwa tunalalamikaMagufuli hakwenda kabisa lakini hukuona jinsi alivopunguza matumizi. Unajifanya kuona ya Hichilema tu. Unafiki utakuua.
Acheni upuuzi...Yaani kusema ile "AIRBUS A220" imeandikwa "Ngorongoro" kwa ajili ya malengo ya kuhamasisha UTALII ni utetezi duni?!! Khaaa 😲🤣🤣
Inashangaza.Alikuwa hasafiri tulikuwa tunalalamika
Huyu ana safari tunalalamika😂😂😂
Ova
Wewe TenaUmesahau malengo ya ROYAL TOUR?!!
Rais anasafiri na ndege yetu lengo likiwa ni kuitangaza TANZANIA KIUTALII kipindi hiki cha CORONA....
Ndio maana UTAWALA wa awamu ya 5 ukaziandika maneno ya "kitalii" katika mbavu za ndege hizo.....
Mfano "AIRBUS A220" imeandikwa "Ngorongoro"....
#SiempreJMT
Hivi JPM naye aliwahi kwenda ? Najaribu kutafuta uzi wako ukimsifia JPM kwa savings alizofanya kwa kutokwenda kabisa kwenye mikutano hii kwa miaka 5 mfululizo. Siku nzima nimetafuta uzi wako huo sijauona. Tafadhali nisaidie niuunganishe na uzi wako huu wa kumsifia Mr HH.View attachment 1945516
Rais mpya wa Zambia Mh Haikainde Hichilema , ameelekea Marekani kwenye Mkutano wa UN kwa kutumia usafiri wa watu wote wa ndege ya Qatar Airways , na taarifa zinaonyesha kwamba amepanda daraja la chini kabisa maarufu huko Tanzania kwa jina la (Kajamba nani)
Msafara huo mzito wa Mh Hichilema umeamua kupunguza gharama za safari kwa kuacha ndege binafsi ya Rais ili pesa itakayookolewa ijenge upya Nchi yao kwa lengo la kupunguza Umasikini .
Mh Hichilema ameongozana na maofisa wengine Watatu (3) tu .
Mungu ibariki Zambia