Msafara wa Rais wa Zambia kuelekea Marekani kwenye Mkutano wa UN watumia ndege ya abiria ya Qatar Airways ili kupunguza gharama zisizo za lazima

Wakuu Habari Ya Wakati.

Jana Rais Wa Zambia Mhe. Hinchilema ameondoka Jioni Kwenda New York Kuhudhuria Kikao Cha UNGA.

H.H aliondoka Na Ndege Ya Abiria Akiwa na Wasaidizi Wake Watatu Tu.

Sisi Rais Wa Nchi ameondoka Na Ndege Kubwa Akiwa na Delegates Ya Watu Kibao, Wakati Hata Wengine Hawana Umuhimu Wa Kwenda.

Kuna la Kujifunza Kwenye Hili La H.H, Marafiki Wa Kiafrika Ni Miungu Watu.

View attachment 1945793
Nijifunze kwa mtu yuko kwenye mihemko na fungate? Ndani ya mwaka tuone uchumi ukirudi ndio tutajifunza saizi anafanya propaganda tuu
 
Mbwembwe tu hizo, siku zote wanavyoingiaga ndo inakuwaga hivyo hivyo kogo kibao, ngoja akae mwaka huyo utasikia kanunua Dreamliner jipyaa afu anapanda peke yake.

Huyu jamaa ukifuatilia historia yake ni tajiri sana ila hapendi kujiinua, ni mtu wa watu sana na anapenda kiwatumikia wananchi. Viongozi wengi najua wanabadilika ila huyu akibadilika nitashangaa sana
 
Rais kusafiri kawaida ni kuhatarisha usalama wa nchi. Anaweza kukoregewa sumu kwenye chakula cha ndege nchi ikapata matatizo.
Wenye wasiwasi na mashaka ya namna hii ni wale wenye hatia na madhambi...

Ukiwa mtu wa haki, nature itakulinda na hutakuwa na mashaka wala wasiwasi wa maisha na usalama wako...!

This is a natural principle...
 
Hiyo natural principle ni theory kwa hiyo you can't take chances. Duniani viongozi wa nchi wana maadui, wa ndani na wa nje wakipata tuu mwanya watafanya mambo. Hata Papa wa Kanisa Katoliki ambaye ni kiongozi wa Vatican ambaye unaweza kufikiria hana hatia na madhambi aliwahi kupigwa risasi. Mpaka leo Papa hatembei tena na gari kibandawazi.
 
Hiyo natural principle ni theory kwa hiyo you can't take chances. Duniani viongozi wa nchi wana maadui, wa ndani na wa nje wakipata tuu mwanya watafanya mambo.
Ni wazi kuwa hujanielewa maana haya mambo ndugu ni more spiritual than physical....

Mlango (au kama ulivyoita wewe "mwanya") wa adui kupita ili akushambulie, ni DHAMBI au KUTENDEA wengine mabaya/uovu. Hii ni principle ambayo inamhusu mtu yeyote ukiwemo mimi na we we...

Once ukiiweka pembeni HAKI na kuchagua UASI DHIDI YA MUNGU (DHAMBI) i.e matukano, uuaji, uasherati, uzinzi, uongo, unafiki, kutotenda haki, ufiraji, usagaji nk, unakuwa umefungua mwanya wa kushambuliwa na adui...

Na kumbuka adui wa mwana - Adam ni mmoja tu, ROHO YA UASI WA SHETANI/IBILISI...

ROHO HII YA UASI DHIDI YQ MUNGU iitwayo kwa jina jingine SHETANI/IBILISI hutenda kazi kupitia wanadamu na mazingira yanayomzunguka mwanadamu huyu...

Ndiyo iliyowaingia ADAMU na Eva/Hawa bustanini Eden na kuasi maagizo ya Mungu wa ulinzi wao na kuanzia hapo HOFU ya Kifo ikamtawala binadamu kwa sababu walimkataa Mungu muumba wao na kumtii MWASI - SHETANI/IBILISI...

Ndivyo ilivyo hata leo. Ukiona mtu anajiwekea ulinzi usio wa kawaida na uliopitiliza na wa gharama kubwa, tambua Mara moja liko tatizo kwake...!!
Hata Papa wa Kanisa Katoliki ambaye ni kiongozi wa Vatican ambaye unaweza kufikiria hana hatia na madhambi aliwahi kupigwa risasi. Mpaka leo Papa hatembei tena na gari kibandawazi.
Nisome tena hapo juu..

Lakini hata hivyo, sisemi kuwa tusichukue tahadhari katika maisha yetu ya kila siku...

Hilo ni lazima kwa sababu Mungu ametupa "ROHO" wa AKILI wa kutuwezesha kutambua jema na baya; wa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi maana imeandikwa;

".....Tutaongozwa na Roho..."

Hakainde Hichilema, amepewa AMANI na KUJIAMINI kwa sababu hashtakiwi na dhamira yoyote mbaya kwa sababu ya kuonea au kuumiza wengine...

Ndiyo maana anasafiri ktk njia za kawaida na kwa sababu ni mtu wa haki, na hivyo USALAMA WAKE UMETHIBITISHWA na MUNGU mwenyewe...!!
 
Ni wazi kuwa hujanielewa maana haya mambo ndugu ni more spiritual than physical....

Mlango (au kama ulivyoita wewe "mwanya") wa adui kupita ili akushambulie, ni DHAMBI au KUTENDEA wengine mabaya/uovu. Hii ni principle ambayo inamhusu mtu yeyote ukiwemo mimi na we we...

Once ukiiweka pembeni HAKI na kuchagua UASI DHIDI YA MUNGU (DHAMBI) i.e matukano, uuaji, uasherati, uzinzi, uongo, unafiki, kutotenda haki, ufiraji, usagaji nk, unakuwa umefungua mwanya wa kushambuliwa na adui...

Na kumbuka adui wa mwana - Adam ni mmoja tu, ROHO YA UASI WA SHETANI/IBILISI...

ROHO HII YA UASI DHIDI YQ MUNGU iitwayo kwa jina jingine SHETANI/IBILISI hutenda kazi kupitia wanadamu na mazingira yanayomzunguka mwanadamu huyu...

Ndiyo iliyowaingia ADAMU na Eva/Hawa bustanini Eden na kuasi maagizo ya Mungu wa ulinzi wao na kuanzia hapo HOFU ya Kifo ikamtawala binadamu kwa sababu walimkataa Mungu muumba wao na kumtii MWASI - SHETANI/IBILISI...

Ndivyo ilivyo hata leo. Ukiona mtu anajiwekea ulinzi usio wa kawaida na uliopitiliza na wa gharama kubwa, tambua Mara moja liko tatizo kwake...!!

Nisome tena hapo juu..

Lakini hata hivyo, sisemi kuwa tusichukue tahadhari katika maisha yetu ya kila siku...

Hilo ni lazima kwa sababu Mungu ametupa "ROHO" wa AKILI wa kutuwezesha kutambua jema na baya; wa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi maana imeandikwa;

".....Tutaongozwa na Roho..."

Hakainde Hichilema, amepewa AMANI na KUJIAMINI kwa sababu hashtakiwi na dhamira yoyote mbaya kwa sababu ya kuonea au kuumiza wengine...

Ndiyo maana anasafiri ktk njia za kawaida na kwa sababu ni mtu wa haki, na hivyo USALAMA WAKE UMETHIBITISHWA na MUNGU mwenyewe...!!
Sawa lakini hata kama Hakainde Hichilema amepewa AMANI na KUJIAMINI lakini alichofanya amehatarisha usalama wake na wa nchi ambayo imempa majukumu ya kuiongoza. Kiongozi wa nchi yoyote lazima azingatie usalama wake kwa sababu akipata matatizo ni taifa litapata matatizo.
 
Porojo
 
Mwamini Mungu tu maana imeandikwa;

ISAYA 41:10a

"...Usiogope , kwa maana mimi [ MUNGU YEHOVA] ni pamoja nawe...................."

Vivyo anaendelea kukuhakikishia usalama wake kwa WENYE HAKI WAKE kusema;

ZABURI 125:1
"....wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni, ambao hautatikisika, wakaa milele..."

Hakuna sababu ya kutomwamini au kutilia shaka kauli au maneno ya Bwana Yehova...

Tunatakiwa kuamini tu!!
 
Wewe.

Tuambie ni pesa kiasi gani imeokolewa katika hiyo safari kiasi kwamba iweze kujenga UPYA ZAMBIA yote ??!
Piga mahesabu ya'
Landing free,ukizingatia ndege siyo gari
Night alawance ya pilots na air hosts wote kwa siku zote ndege itakapo kuwa Marekani,
Mafuta nikimaanisha fuel kwenda na kurudi,
Idadi ya watu ktk msafara na wote walipwe na kula na kulala,
Hapo utajua kaokoa kiasi gani,nimependa Sana kwa kweli na n moja Kati ya Marais wachache Sana.
 
Hoja zenu hazina vishikio vya kushikia;

1-----Mnajuaje hali ya uchumi wa Zambia kwa hivi sasa ipoje???, je kutokana na ukata wa kiuchumi wa Zambia huoni kwamba ni busara kwa yeye kama kiongozi wa nchi kuonyesha njia bora ya matumizi ya pesa za umma??, hali kama hii ya ugumu wa uchumi ilikuwepo nchi mwetu katika miaka ya 1979---80s mara baada ya vita vya kumg'oa Amini na mambo kama anayofanya huyo Rais wa Zambia yalikuwepo Tz zama hizo. Hivi sasa hatuna hali hiyo.

2---- Je, kisheria katika safari ya kwenda New york Rais Samia amefuja pesa ya umma au laaa??

3---- Hivi ni lazima kila kitu tuige nje ya nchi au tufanye mambo tunayoamini na kuyaona yanayo manufaa kwetu kama nchi ikizingatiwa kwamba yamo ndani ya sheria zetu na ndani ya uwezo wetu na mazingira yanaruhusu??
 
View attachment 1945516

Rais mpya wa Zambia Mh Haikainde Hichilema , ameelekea Marekani kwenye Mkutano wa UN kwa kutumia usafiri wa watu wote wa ndege ya Qatar Airways , na taarifa zinaonyesha kwamba amepanda daraja la chini kabisa maarufu huko Tanzania kwa jina la (Kajamba nani)

Msafara huo mzito wa Mh Hichilema umeamua kupunguza gharama za safari kwa kuacha ndege binafsi ya Rais ili pesa itakayookolewa ijenge upya Nchi yao kwa lengo la kupunguza Umasikini .

Mh Hichilema ameongozana na maofisa wengine Watatu (3) tu .

Mungu ibariki Zambia

====

PRESIDENT HAKAINDE HICHILEMA LEAVES FOR US VIA QATAR AIRWAYS

A QATAR Airways Commercial plane carrying President Hakainde Hichilema is shortly taking off from Kenneth Kaunda International Airport in Lusaka.

Fellow citizens,

We have left the Country for the United Nations’ General Assembly that is being held in New York, United States of America.

While in that Country, we will ensure that all engagements and meetings will discuss matters of interest to the people of Zambia.

Our focus areas during these engagements will be on economic development, jobs, business opportunities, education and quality health care services for the people of Zambia.

Just like we promised before taking office, we will ensure prudent management of public resources and have therefore travelled with a lean team that is composed of Ministers of Foreign Affairs and Finance, Honourables Stanley Kakubo and Dr Situmbeko Musokotwane respectively.

At the General Assembly we will share our development plan for Zambia with the wider global community. As we address this meeting we will present a case for that child in Chipulukusu, Chief Kambombo, Chama, Mugubudu or indeed Sikongo.

Our focus is turning around our Country’s economy and yes, we are working round the clock to ensure that this comes to fruition.

May God Bless you all and May God Bless our Country.

Hakainde Hichilema
President of the Republic of Zambia
View attachment 1945619
Safii
 
Back
Top Bottom