Msafara wa Rais Magufuli wakati akielekea Simiyu

Taarifa hii haiwezi kubadili habari mbaya kuwa nzuri. Taarifa ya IFM iko palepale kwamba mdodoro wa Kiuchumi kutokana na SERA MBOVU ZA JPM utaendelea kulitafuna Taifa bila huruma.
Rekebisha mkuu ni International Monetary Fund (IMF) na wala sio Institute of Finance Management (IFM)
 
Rais mwenye misimamo iliyo thabiti kwa maendeleo ya Tanzania yetu. Mwenyezi Mungu akulinde akupe maisha marefu uzidi kuiweka Tanzania katika mstari ulioonyooka. Sasa hivi tumeanza kuiona nidhamu katika matumizi ya pesa. Zile keep change zimepotea kabisa.
Nakubaliana na mtazamo wako.

Sina chochote cha kuongeza kwenye angalizo lako.
 
Ni habari njema raisi kutembelea wananchi wake ,tena kwa gari ili ashuhudie kero za wananchi ikiwamo ukame ktk nchi yetu.
 
Naamini hao wote waliojitokeza hawana kazi zinazoeleweka ambazo zinaweza kuchangia uchumi wetu ukue

unemployment in the face of the president
 
Rais mwenye misimamo iliyo thabiti kwa maendeleo ya Tanzania yetu. Mwenyezi Mungu akulinde akupe maisha marefu uzidi kuiweka Tanzania katika mstari ulioonyooka. Sasa hivi tumeanza kuiona nidhamu katika matumizi ya pesa. Zile keep change zimepotea kabisa.
Upuuzi mtupu ulioandika.
 
Hatunywi sumu hatujinyongi CCM mbele kwa mbele
Du! Umenikumbusha mbaaaali! Waacheni waandamane eeee kwa ujinga wao! CCM mbele kwa mbeleeeee!! Tulipowapiga bao wanaojiita Wapinzani wa Nchi hii wengi wao wakiwa waroho wa madaraka tu hawana lolote!!
 
MAGUFULI ANATISHA HATARI BALAAAAAA CHEKI WATU WALIVOJAAA 2020 ANAPITA LAZIMA UKIBISHA JINYONGE
 
Rais mwenye misimamo iliyo thabiti kwa maendeleo ya Tanzania yetu. Mwenyezi Mungu akulinde akupe maisha marefu uzidi kuiweka Tanzania katika mstari ulioonyooka. Sasa hivi tumeanza kuiona nidhamu katika matumizi ya pesa. Zile keep change zimepotea kabisa.

Kweli nidhamu ya pesa IPO mkuu ila daah, aachie kidogo maana hata kiberiti kinaanza leta tabu kununua
 
Back
Top Bottom