Rekebisha mkuu ni International Monetary Fund (IMF) na wala sio Institute of Finance Management (IFM)Taarifa hii haiwezi kubadili habari mbaya kuwa nzuri. Taarifa ya IFM iko palepale kwamba mdodoro wa Kiuchumi kutokana na SERA MBOVU ZA JPM utaendelea kulitafuna Taifa bila huruma.