Msafara wa Rais lazima uende kasi?

Msafara wa Rais lazima uende kasi?

Magari ya misafara yalikuaga na kawaida ya kqenda polepole mpaka hapo mwaka 1964 alpouwawa John kenedy kwa sniper baada ya hapo magari yakaanza kwenda kasi kwa sababu ya kuavoid kitu kama hicho ni balacade zote duniani zinaenda kasi labda kama uko dunia nyingi wewe angalia hata youtube tafuta misafara ya viongozi utaona. kingine wakienda polepole hizo foreni.mtaweza kuzimudu? wale wanaoendesha ni trained people ndo maana ni rarely sana kutokea ajali sababu wanajua wanachokifanya.

Trained kwenye kupasuka tairi?
 
siku moja nilikuwa maaeneo ya taveta unguja, ulipita msafara wa shein, niliogopa sana gari 3 au 4 hivi zilikuwa mbele ya gari la shein, zinakwenda kasi sana kwenye barabara ambayo iko bize (fuoni-darajani) kilichonishangaza zaidi gari moja inapita kushoto nyingine inapita kulia mwa barabara, ukiona mwendo wanaopita na staili wanayotumia, unaweza kufikiri wanatafuta sababu ya kumgonga mtu au kusababisha ajali, lakini muda
mfupi tu alirudi rafikiangu akitokea mjini akaniambia meli nne msikitini mpanda vespa amegongwa na gari ya msafara, alishindwa kukwepa gari ya msafara iliokuwa upande wa kulia wa barabara'.
 
Back
Top Bottom