Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Nchi kama Russia, ina mafia wengi sana na ukisikia chechnya sio sehemu ya kitotoDah huo msafara Madikteta bana Yani hayajiamini popote pale Iwe kwenye sanduku la kura, Uhuru wa habari Na hata misafara.
acha uongoPutin, the Richest man on earth right now..( Excluding Royal Families)
Hatariukishangaa ya Putini utayaona ya Xi Jinping ana escort na ndege zaidi ya 8 ziarani Pakistan, sijui Tanzania lini tutafikia huku..... Kama maji safi ni shida huku tutabaki tukiona kwenye youtube tu
JF-17s Thunder
Gari 91, uyu Mzee ni hatari.