LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
Mtoto wa mkulima lakini yeye ni fisadi watoto wake wataitwa mitoto ya fisadi
Naaaadhani ndo anakuja kumhujumu kamanda Lema
Nikiwa hapa Technical College Arusha,mara msafara wa magari aina ya Landcruiser Vx tu na ndipo nikamwona ni mtoto wa mkulima ndio amesababisha msafara wote!
Anayejua kwa undani anakoelekea huyu PM atujuze tu!
Ana msafara wa magari kama 35 bila ya kukosea!
Nawasilisha!

Lema huwa anasema Pinda ni muongo kuliko hata shetani.....Juzi katoka kusema anapunguza matumizi yasiyo ya lazima leo masafara wake magari 35...kweli pinda unayoyasema huwa unayatenda au ni kutupumbaza wadaganyika...Mwenyewe anadai hapendi magari ya kifahari!!!!
Watu wenye uwezo wa kumhukumu Lema ni wananchi wa Arusha Mjini na siyo Kikwete, Pinda,wala mbwa yoyote sana sana wata chelewesha tu.....Naaaadhani ndo anakuja kumhujumu kamanda Lema
Na kile kilio chake cha kinafiki ati anauchungu sana na ndugu zetu walemavu jiulize alifanya nini la maana kukomesha......mwacheni jamani apumzike juzi mbowe kampiga swali la papokwa hapo bado kidogo tu alie
Amevaa suti au batiki?