Msafara wa Mbowe -chadema!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811

Kumbe Mbowe naye anatumia shangingi V8 la Serikali halafu analalamikia Serikali kwa nini inatumia magari ya Gharama!

walinzi_cdm.jpg

guardian-cartoon-251113-zitto-chadema.jpg

Viongozi wa Africa ni mazuzu sana! Hao jamaa huko pembeni ni wa kazi gani sasa??

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
serikali imetoa hayo magari kwa viongozi wake, ulitakaje, hata shule hatukupenda kupewa ugali maharage ila tulipopewa tulipokea.
 
Viongozi wa Africa ni mazuzu sana! Hao jamaa huko pembeni ni wa kazi gani sasa??

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
wauza sura ...na ndio maana siku ile pale central police walizuiwa nje , kuanzia anayejiita Aide de Camp
wake Mbowe kwa kuambiwa kuwa hawatambuliki , na wao polisi wanamtaka mbowe tu na wengine
wote wapotee haraka sana.

walinzi_cdm.jpg
 
Viongozi wa Africa ni mazuzu sana! Hao jamaa huko pembeni ni wa kazi gani sasa??

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mkuu,viongozi wengi wa kiafrica wanapenda sana ufalme..hivyo akiwa ndani ya hilo gari anajiskia raha tele!!
 
Kumbe Mbowe naye anatumia shangingi V8 la Serikali halafu analalamikia Serikali kwa nini inatumia magari ya Gharama!

walinzi_cdm.jpg

guardian-cartoon-251113-zitto-chadema.jpg

Avatar yako ya mbwa inadhihirisha kuwa wewe hakika ni mbwa wa CCM, kila uchao Lowassa, mbowe, CHADEMA, mara wapinzani, huachi kuwaandika humu, CCM imeshinda Urais na wabunge mmepata wengi, sasa kelele za nini sasa? au ndo unabweka kama kawaida ya mbwa ilivyo kubweka?
Halafu haujitesi kufikiri, Mbowe ni tajiri ana miradi mingi ya kumwingizia pesa, gazeti la Tanzania Daima pekee linamwingizia zaidi ya sh 90,000,000 kwa mwezi, kwa hiyo hata serikali isipotoa magari hayo, ana uwezo wa kununua kwa jasho lake,
Anayapinga magari hayo kwa kuwa yanatumia pesa za walipa kodi ila kama mtu ana uwezo wa kununua kwa jasho lake ni ruksa, kwa jinsi ulivyokuwa na akili ndogo utasema Mbowe ni fisadi. wewe Ni mjinga sijawahi kuona.
 
Back
Top Bottom