Msafara wa mamba na KENGE WAPO..!

Msafara wa mamba na KENGE WAPO..!

Umenikumbusha wakati ule nikiwa katika jiji mojawapo, nilikuwa na tabia ya kudandia sana sherehe za harusi. Unabeba funguo nyingi, halafu nagonga gonga tairi za gari la bibi na bwana harusi. Mabaunsa hawafanyi chochote. Kwa hakika ule ulikuwa utumwa wa tumbo langu. Nilifanywa kuwa mtumwa wa tumbo langu. Leo hii sikubali tena kuwa mtumwa wa tumbo.
 
nisaidieni, mimi nimeona watu wameinama kutoa heshima zao sijui kwa kitu gani - mbona kenge haonekani hapo?
 
Ukiwaangalia hao wachona wote utagundua wameinama karibu kwa angle sawa!! They are really flexible!!! Ukimwangali kenge, mgongo mgumu kama hardened steel!!!

Mazoezi jamani ni mazuri kwa afya zetu....
 
Ndo hasara ya vitambi,sisi wenyevitambi ukidondosha kitu,kukiokota unajiuliza mara tano tano
 
Siyo Nape tu, ukweli ni kwamba vyakula tunavyokula vina madhara makubwa sana mwilini haswa kwenye flexibility ya mwili. Wengi watakubaliana na mimi kuwa hawa jamaa wa Asia misosi yao iko calculated vizuri, wengi wao wako njema sana kiafya kuliko hii mijitu ya ulaya na marekani.

Waafrica wengi tunaponea kwenye hizi kazi ngumu ngumu kama za shamba nk, lakini ukimkuta mtu aliyejimwaga ofisini na ukimfuatilia misosi anayokula ni hatari kwa afya. Wengi hawataki kuandaa misosi yao wenyewe, utakuta mtu anakula misosi yenye mafuta kibao ukijumlisha na huduma mbovu za maji basi yale mafuta yanageuka sumu ndo unakuta mtu hawezi kukaa kwenye mkeka akakunja miguu kuelekea kwa ndani.

Wito wangu, tubadilikeni, kula misosi ambayo ni natural zaidi (ambayo haijapikwa sana au isiyotiwa mafuta itasaidia kujenga afya zetu).
 
Unaweza ukajikuta unajamba hadharani,, kila kitu kinamazoea yke.
 
Hahah dah jamani watu wengi wameshindwa kumantain ma dust bin yao ni balaa
 
Umenikumbusha wakati ule nikiwa katika jiji mojawapo, nilikuwa na tabia ya kudandia sana sherehe za harusi. Unabeba funguo nyingi, halafu nagonga gonga tairi za gari la bibi na bwana harusi. Mabaunsa hawafanyi chochote. Kwa hakika ule ulikuwa utumwa wa tumbo langu. Nilifanywa kuwa mtumwa wa tumbo langu. Leo hii sikubali tena kuwa mtumwa wa tumbo.

Weye ndo umenimaliza zaidi hahahahahaha

mie nilikuwa nambebea mabegi kameraman ma ile taa y ajamaa wa video....................du namshukuru Mungu alinikomboa na huu utumwa aisee!
 
nisaidieni, mimi nimeona watu wameinama kutoa heshima zao sijui kwa kitu gani - mbona kenge haonekani hapo?

Inamaana Humuoni kenge hapo?wengine wotw wanafanana kasolo likenge tu ndio liko tofauti.
 
Ukiwaangalia hao wachona wote utagundua wameinama karibu kwa angle sawa!! They are really flexible!!! Ukimwangali kenge, mgongo mgumu kama hardened steel!!!

Mazoezi jamani ni mazuri kwa afya zetu....

sio hardenned tu ni carbonated steel ile inayotumika kutengenezea cam shaft.... kenge ni kenge tu.... yote hii ni kutafuta misaada mpaka tunajikuta tuko kwenye mambo mengine ya kujicameroon wenyewe... aaagh
 
Back
Top Bottom