raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,904
- 37,126
Mzee wa Msoga aliwafanyaje 😄Kiboko ya Kusini ni JK Mzee wa Msoga,THE BIG SHOW hana hamu nae kabisa japokuwa wapo pamoja katika imani,nusura apoteze kende.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
CCM wanaitana komredi, makamanda ni CHADEMA.jambo jema sana kama kamanda hajadhurika
Nimecheka kwa nguvu, Leo sijamuoana hapa jukwaani, au atakuwa amebatizwa na kuwa mkristo, hivyo Leo Yuko anatoa huduma?Kiboko ya Kusini ni JK Mzee wa Msoga,THE BIG SHOW hana hamu nae kabisa japokuwa wapo pamoja katika imani,nusura apoteze kende.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Israili naye mlegevu sana siku hizi
Watu wa kusini, huwa hawatakagi ujinga. Yaani ajali inayohusu magari 13??[emoji848][emoji848]ni ajali fikirishi.
Mmmhmakonda hatochoka kuipigania nchi hasahasa kwa wanyonge na walalahoi wallah
naona bado uwelewa wako uko chiniVinaongozwa na uchumi au ma CCM? Hao wanaongoza vita vya kiuchumia na Makonda si wamewekwa na waliomuweka Makonda, kweli akili hamna
Huyo jamaa amejaa gundu tu, kaishia kuwasababishia watu maumivu na majeruhi kwa upunguani wake..Konda boy yeye kachomoka?
Naunga mkono!Sexless unatisha,unasema kwamba taarifa haina mvuto kama Bashite hakufa !.
naona bado uwelewa wako uko chini
Kuangaika tu,achana naeHawa wanyonge ni akina nani?? Is it fair kumuita mwenzio mnyonge?
kwema To yeyeKuangaika tu,achana nae
Unazingua,hata siyo kwemakwema To yeye
Walipopinga issue ya gas kuja Dar akawapelekea JWTZ,kilichotokea ikawa historia,walisanda.Mzee wa Msoga aliwafanyaje [emoji1]