Msafara wa Makonda wapata ajali

Kwahiyo hapo ulitaka usikie, waloumia ni Mwenyekiti wa CCM, katibu wa CCm, na viongozi wa CCM??.

Wee hujaona kua na Katibu Tawala Mkoa ' RAS ' kajeruhiwa? Ulitaka katibu tawala Mkoa, atumie usafiri wa Chama???.
RAS anafuata Nini kwenye msafara wa MC wa CCM?. Bora angekuwa Katibu Mkuu au Mwenyekiti wa chama. Sasa MC anatembeza kwenye msafara mavumbini mpaka ajali? Watumie akili siku nyingine.
 
Weee huna akili, unahisi Kifo Cha Mzee Lowassa, kingepunguza nyomi la Makonda kama angeamua kuendelea na Mikutano?.


Hata hivo, Makonda ni mwenye Hekima, Busara, na Mwenye Akili, kama Kiongozi wa Chama, anajua wajibu wake wa Kichama ni upi .
Wewe bado mtoto huwezi kunielewa. Nakuacha Kama ulivyo. Halafu makonda ana nyomi gani?. Mikutano inaandaliwa Wana CCM wanasafirishwa na watu kuandikiwa mabango ya kumsifu makonda. Pole pole mtaelewa tu.
 
Ina maana kifo Cha mwanachama mwenzake hakimhusu!!?

Kwani akienda msibani atapungukiwa nini!!?

RIP comrade.Edo!
 
Apunguze ulimbukeni. U MC wa chama anataka awe treated Kama Rais?. Gari mbili au tatu zinatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…