Ukimaanisha gari ilikua na jina na wadhifa wa mtu...
Aliekua na ulinzi unaozungumiza ni makamu wa rais hyo Pombe hakuhusishwa na hilo...
Uropokaji hausaidii
CCM mbona mnazidi kutuchukiza watanzania? Hao polisi no Wa serikali magufuli Wa ccm kama in uwaziri hana hadhi ya hiyo misafara tusije tukalaumiana baada ya oktoba
Nyie watu taabu sana.kwa juzi mnalalamika Magufuli kaingia Arusha kimya kimya.sasa kaondoka eti kaondoka kwa kishindo.
HUYO ni kiongozi kambi ya upinzani bungeni
nitampa kura magufuli,huyo tamaa ya fisi lowassa asubiri sana na atakufa kwa presha mwaka huu
Endelea kuuliza
Mkuu,huo upuuzi mh,rais wa jmt mh sana Edward lowasa hataukubali kabisa upuuzi huo baada ya kuapishwa
Lowasa gani????..
tunawaogopa msimfanya mliyomfanya mwakyembe na mwandosya hatujasaau,
matumizi mabaya ya kodi zetu
Nina mashaka na ubongo wako, kichwa chako kinapitisha upepo bila shaka
Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.
Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.
Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?

CCM ni Chama Dola!
Na nini?Umesalimika?
na nani?Unapelekewa moto huko chini?
Post za Magufuli zimedoda khaa hata hazichangiwi