geraldkowero1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 1,838
- 647
Hilo ni muhimu sana Mkuu,mimi binafsi nishafanya hivyo tupambane kuhamasisha hakuna njia rahisi ya mabadiliko ,ni kutumia kila mbinu wakuuuu!!! Viva lowasaaaa
hongera mkuu,jamaa anamuogopa nyoso
miaka yote kura za mijini zinaamua rais
Tunasubiri Tu Kuweka Picha Yake Ktk Hela Utakazoanza Kuzitumia Mwezi January 2016 Na Pia Picha Zake Nyingi Tu Kuanzia Tarehe 2, November 2015 Utaanza Kuziona Zimebandikwa Ukutani Maofisini Humo Na Ktk Sehemu Mbalimbali. Jipeni Tu MOYO Na JIDANGANYENI Kwa Huyo MKWEKAJI Wenu Wa Majukwaani Ndiyo Atakuwa Rais Wakati Ninavyojua Ni Kwamba Kwa MAANDALIZI Tunayomalizia Sasa 99.999% Dr. John Pombe Joseph Magufuli Ndiyo Next President Wako / Wenu MTAKE MSITAKE Period!
Ianzishwe kampeni maalumu ya watu wa dar kuwaomba wa vijijini kumpigia lowassa kura iitwe "ongea na home lowassa awe raisi"
Kwa siku ya mwisho inakubalika!
mwaka huu kura za mijini zitaamua rais!!
Nd
Ndio maana ni karibu watanzania wote wana ndugu kila mmoja akimuambia wa kwao tunaweza badili hata vichwa million moja
mkuu atamuogopa vipi wakati walikuwa pamoja kwenye kambi ya timu ya simba?
Hakuna namna nyingine, LOWASSA ameshakuwa Rais! Na aapishwe tu, maana tumeshachoka!
Sasa ni wazi Dar es Salaam imefunga. Hii ni baada ya msafara wa mgombea wa UKAWA Edward Lowassa kusimamishwa ma maelfu ya wananchi wa Ubungo na kuamua kumsindikizwa mpaka Tandale.
hahahahhaha.....si kweli ni 70 30 for CCM....CCM hua mnasomba watu toka maneromango
tisha xn Ocampo
Kufunga barabara sio sifa.hata msafara wa msiba unafunga barabara
Katisha kwa lipi? Wewe ni Ke au Me?
Ona mipango ya mungu mawaziri walivopendeza kwenye msafara huo?
Viva lowasa
viva sumaye