Msafara wa Kikwete unatoka airport saizi

dostum

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
215
Reaction score
111
Nipo hapa nje quality centre naona msafara mrefu bila shaka ni kikwete anatoka airport. Sijui kikwete anatoka wapi naamini safari hii yq dhafla ndiyo iliuosababisha kuahirishwa kutangazwa hukmu ya wezi wa escrow. Bila shaka kikao kesho mapema tu ataongea na wazee wa CCM wa Tanzania atakaokutana Dar Ubungo plaza.

Habari za nyuma ya panzia ni kuwa watu wa system wanamtetea pinda. Lkn team yenye captain rostam, mengi na EL wanatumia nguvu zote kuhakikisha anakwenda na maji Pinda. Mwenyewe kapinda katafuta safari ya kwenda kinadisha twiga waliobaki. NA tuone
 
Awe makini tu asitoe kafara ya mtanzania mwingine huko barabarani.
 
Nipo hapa nje quality centre naona msafara mrefu bila shaka ni kikwete anatoka airport. Sijui kikwete anatoka wapi naamini safari hii yq dhafla ndiyo iliuosababisha kuahirishwa kutangazwa hukmu ya wezi wa escrow. Bila shaka kikao kesho mapema tu ataongea na wazee wa CCM wa Tanzania atakaokutana dar ubungo plaza.

hqbari za nyuma ya panzia ni kuwa watu wa system wanamtetea pinda. Lkn team yenye captain rostam, mengi na EL wanatumia nguvu zote kuhakikisha anakernda na maji pinda. Mwenyewe kapinda katafuta safari ya kwenda kinadisha twiga waliobaki. NA tuone

Hata kuandika hujui.Chapombe unafanya nini usiku wote hapa plaza kama sio mwizi?
 
CHADEMA noma, yaani Prezo katoka A-Town Faster! ... Pinda anatakiwa atoke kupisha Uwajibikaji, siku hizi hakuna cha System bali kuna programme ya Liwalo na Liwe! A moment walipomuua Imran Kombe kitengo kilikufa Rasmi...

Nipo hapa nje quality centre naona msafara mrefu bila shaka ni kikwete anatoka airport. Sijui kikwete anatoka wapi naamini safari hii yq dhafla ndiyo iliuosababisha kuahirishwa kutangazwa hukmu ya wezi wa escrow. Bila shaka kikao kesho mapema tu ataongea na wazee wa CCM wa Tanzania atakaokutana dar ubungo plaza.

hqbari za nyuma ya panzia ni kuwa watu wa system wanamtetea pinda. Lkn team yenye captain rostam, mengi na EL wanatumia nguvu zote kuhakikisha anakernda na maji pinda. Mwenyewe kapinda katafuta safari ya kwenda kinadisha twiga waliobaki. NA tuone
 
Usiumize kichwa sana, JK ametoka kumpokea Rais Zuma ambaye amewasili usiku huu kwa ziara ya siku moja.

Hahahaha naamini umemjibu vizur tu, wabongo akili ndogo sana hawafikirii hata kwa dakika 3. Na hawa ndio wafuasi wengi wa upinzani akisema mtu wao wameamin. Na kwan msafara mrefu ni wa rais tu?
 
Mh. Jamii Forum iliyokua ya watu makini imegeuka platform ya mipasho. Siasa ni utumwa wa kifikra?
 
maisha bana,arcado kapigika wee nje ya system sasa kaibukia cdm anavizia kupata ulaji tena
 
alikua anatoka Arusha kupumzisha tezi dume,,, jana kakurupushwa na Arcado Ntagazwa ndo maana kaja fasta!
 
maisha bana,arcado kapigika wee nje ya system sasa kaibukia cdm anavizia kupata ulaji tena

Hata Wasira alipifika sana, ajakumbilia NCCR mageuzi, baadae akarndelea kupigika.....then akakimbilia CCM ajapata ulaji. Sasa hivi ndo jembe la ccm.
Vijana wadogo kama mnyika hawana mtu wa kuweza jupambana nao ndani ya ccm nisipokuwa hao wazee wanaotaka kubadilika kuwa wanyama wa mwituni kwa sura na roho zao mbaya.
 
Nipo hapa nje quality centre naona msafara mrefu bila shaka ni kikwete anatoka airport. Sijui kikwete anatoka wapi naamini safari hii yq dhafla ndiyo iliuosababisha kuahirishwa kutangazwa hukmu ya wezi wa escrow. Bila shaka kikao kesho mapema tu ataongea na wazee wa CCM wa Tanzania atakaokutana dar ubungo plaza.

hqbari za nyuma ya panzia ni kuwa watu wa system wanamtetea pinda. Lkn team yenye captain rostam, mengi na EL wanatumia nguvu zote kuhakikisha anakernda na maji pinda. Mwenyewe kapinda katafuta safari ya kwenda kinadisha twiga waliobaki. NA tuone

leo ndio leo, asiye mwana aeleke jiwe. leo ndiyo siku ya hukumu kwa WEZI. lazima kieleweke.
 
Back
Top Bottom