Huyo kiongozi Salma Kikwete wewe ndio umemchagua? Vinginevyo kanywe nae chai.Mtu yeyote ambaye ana jukumu la kulinda kiongozi anaapa kutoa uhai wake
Tumpe pole nani, marehemu?Jamani hii ni ajali tumpe pole hata kidogo!
Wakuu, ajali imetokea ruvu, salma alikuwa anatokea msoga nyumbani kwake, kama kawaida ya huyu dada,alikuwa na state house vehicles kama matatu na cruiser 2 za police, walisimamisha gari kwa ghafla,basi, driver wa basi akagonga hiace kwa nyuma,then akahamia upande wa pili wa barabara,akaivaa cruiser iliyokuwa inajaribu kupaki pembeni. Driver wa cruiser kafa hapo hapo. Mi nimeikuta imetokea kama ndani ya kama dakika 4 hivi
Na ule mwendo wa magari ya misafara ni ajali mbaya. Pole mama yetu, tunamshukuru Mungu kwamba umenusulika.
Tuwe na huruma zaidi kuliko ushabiki, vp kama ajali hiyo ingemuhusu ndugu yako wa damu (mama, dada, shangazi, mpwa, baba au kaka) ungetoa comments gani?
du pole mkuu kwani arusha walikufa wa ngapi na misafara yote ya nini pesa ya umma na maombi ya umma
Rip dereva.......hili suala la misafara ya viongozi na wake zao linatakiwa litazamwe upya maana mwendo wanaotembea nao si wa kawaida.
Pole wafiwa jaman! mimi nilishapata adha ya msafara kama huu du nilikuwa nafatana nao nilikuwa natanua nao toka ile kona ya tanga sitasahau nilipofika kona ya chalinze nilikuta maaskari wa ffu kama hamsini hivi nilikamatwa kama mhalifu fulani hivi duh. wapunguze magari kwa safari za mkoani kwani inakuwa adha kwa wasafiri
Mijitu mingine iko obsessed kweli badala ya kuwapa pole wafiwa unampa mwingine halafu next time usiandike mama yetu andika mama yako usijekutusababishia bundi la bure nyumbani kwetu.Na ule mwendo wa magari ya misafara ni ajali mbaya. Pole mama yetu, tunamshukuru Mungu kwamba umenusulika.
wote waliohusika wanastahili pole!Msafara wa magari kumi ni ufujaji, period. Kila kona serikalini bajeti zimekatwa hata kazi hazifanyiki, lakini hela ya kumsafirisha demu wa Rais na magari kumi ipo, bunch of b.s.
Tumpe pole nani, marehemu?
ni wapi uliposikia marehemu kapewa pole?Tumpe pole nani, marehemu?
Je bi Salma kanusurika maana umesema msafara wa Bi salma wapata ajali tujuvye zaidi.:embarrassed:
Tuwe na huruma zaidi kuliko ushabiki, vp kama ajali hiyo ingemuhusu ndugu yako wa damu (mama, dada, shangazi, mpwa, baba au kaka) ungetoa comments gani?