Msafara wa Dkt Nchimbi wapigwa mawe Songea

Msafara wa Dkt Nchimbi wapigwa mawe Songea

Ningewasifu sana wangemtoa meno na manundu ya kutosha akamuomeshe mkewe kuwa mwaka huu songea hawataki mipasho yake bal wanataka maendeleo,,,NAE APIGWE TUU NA APIGWE CHN 2015.
 
Huyu ana mazalau sana alikujaga xul kwetu pale songea 2007 alitujibu zarau sana tulipodai basi letu alilotuahidi kwenye kampen 2005;:
 
Nimemsikia huyu Mh. Dr. Emmanuel Nchimbi, Mbunge anawaambia wapiga kura wake ni wajinga, hawana akili kwa kudai barabara iboreshwe! Hivi viongozi wa ccm kuna hata mmoja aliye na busara?
huyo mjamaa sidhani kama atachaguliwa tena mwaka 2015, kwa sababu ana kashafa nyingi mno, ikiwemo ya kudanganya kuhusu ememe, kuchakachua kura zake, na za mayor, nk
 
Huyo ndiyo mbunge wa Songea mjini mtake mstake, uhuni wa watu 10 na boda boda zao za CDM tutawapiga tu daraja halidaiwi kwa vurugu.
 
na kweli wapigwe tu,tumeshachoka wapigeni tu,ata PM alishasema na watapigwa mpaka waseme basi.
 
Hlo daraja ukpta hapo roho mkononi,ukingo wa upande moja uling'oka lakini haujatengenezwa na ajali ya juzi imetokea tena.
 
Huyo ndiyo mbunge wa Songea mjini mtake mstake, uhuni wa watu 10 na boda boda zao za CDM tutawapiga tu daraja halidaiwi kwa vurugu.

Wewe unawazaga chadema, bado unaendelea kula kwa Nchimbi! Akili yako ni dhaifu sana,daraja kama wanaopita ni chadema tuu basi serikali yako no baguzi na dhaifu sana! Only truth will set you free!
 
HUyo jamaa huko Sogea vipi ana mikwara sana na wapiga kura wake hadithi nyingi sana,kila wakati wananchi wanamdharilisha mara akimbie na masanduku, ya kura ya mwenyekiti wa halmashauri,mara apambane na waendesha bodaboda ,atuhumiwe kutoa amri ya kamuhanda kuuwa wananchi jamaa liko vibaya kweli huko
 
Back
Top Bottom