Msafara wa Dkt Nchimbi wapigwa mawe Songea

Msafara wa Dkt Nchimbi wapigwa mawe Songea

mbuge usipojenga daraja,utapigwa tu maana tumechoka sasa.......
 
hatupaswi kuilaum ccm kwenye jimbo la songea mjini.

Cdm siku zote wamekuwa wakimsimamisha mgombea feki.

Tunawaomba cdm,ccm wamteuwe mgombea anaefaa kwawananchi.

Napendekeza cdm wangemwomba mwenyekiti wa mkoa ruvuma ndugu fwime agombee ubunge 2015 songea.
 
Huu ni upuuzi sasa, yaani wamempiga mawe tu tena kokoto na si matofali....mishale na mikuki ilikuwa wapi jamani?
 
Damu ya wana wa arusha itawatafuna mmoja baada ya mwingine(wapigwe tu)
 
Amefanya nini zuri jimboni kwake ili wamshangilie (apigwe tu amewachosha)chimbi 2015 byebye kama masha 2010.
 
Huyu jamaa hakushinda kihalali songea, alichakachua matokea sasa anavuna alichopanda
 
Huyu 2015 hapiti kamwe

huwa halipigi kampeni hilo linchimbi.... linaiba kura kinoma... mwaka 2010 wakati kampeni zinaendelea Nchimbi alikuwa anakula bata tu mikoa mingine na ilivobaki wiki moja kupiga kura alisikika akiwa Iringa akisema.. " Nitakachomfanyia mbogolo hatakisahau maishani naenda kucheza rafu ambayo hajawahi isikia popote". na kweli jamaa alishinda uchaguzi
 
Waliambiwa msipoangalia nchi hii haitatawalika wakasema uchochezi!!!

Someni alama za nyakati... watu wamechoka!

Wale jamaa zetu wa kijani wenye akili za kuku wakasema dr silaha anatoa maneno ya uchochezi haya oneni sasa
 
Wewe unawazaga chadema, bado unaendelea kula kwa Nchimbi! Akili yako ni dhaifu sana,daraja kama wanaopita ni chadema tuu basi serikali yako no baguzi na dhaifu sana! Only truth will set you free!

Naona wewe ndiyo unayeendeleza uliberi na mbowe, isiwe na Akili za kishoga wewe hao wenye pikipiki mnaowatumia Kama condom kwa kuwawekea lita moja na mbunge aliyewawekea daraja na leo hawaongelei tena kwenye mto nani muhimu?!
 
muhakikishe na umeme unawaka na maji yanapatikana
 
Back
Top Bottom