Msada wenu waungwana

Msada wenu waungwana

sawee225

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2017
Posts
3,227
Reaction score
12,126
Wakuu naomba mnisaidie kwenye ili

Nina sim tecno W3LITE 4G netwok mode...mara kwa mara app kama twetter na facebook imekua inagoma kufanya kazi kwa sababu ya netwok....yan kwa mfano nikiingia jf inaingia bila shida ila nikiingia tweeter naambiwa unable to refresh nichek network settings....inaweza ikatokea either kwa app yoyote kwa mfano leo watsap nashangaa amna txt yoyote inayoingia...nimeifuta nimedowload nyingine ila ata registration imekua shida....tweter na yenyew ndo kama mnavyoona na yenyew inagoma....kuna siku inaweza goma jf nika uninstall nikidowload nyongine fresh ila ii leo watsap imenigomea kabisa....wakuu msaada wenu
Screenshot_20190509-145700.jpg
Screenshot_20190509-145545.jpg
Screenshot_20190509-145514.jpg
 
Back
Top Bottom