Msada jaman tumedat alhamis ilyopita leo anasema ana mimba yangu.

Nawachukia sana watu wa namna hii, kwani hawa ndio wakati mwingine wa kuongezeka watoto wa mtaani. Hua roho yangu inaniuma sana ninapo pita Posta usiku wa manane na kuvikuta vitoto vimelala chini, hapo vingine vina bakwa, vingine havijala, huku mapumbavu kama haya yanayo jishauri kama mimba zao yamelala huko matumbo juujuu kama mafisadi
[/B]

Inaitwa triple laana. Atakomaje?
 
naimani penye wengu hapalibiki jambo nakukana mimba si vizuri ila kukubali mimba isiyo yako ni vibaya kuna mwenzangu alhamis nilikutana naye bahati mbaya kinga ikapasuka leo hii ananipigia sm anasema anamimba yangu jamani watalaamu wa mambo ebu nisaidieni kweli inawezakana hii

Dah!!...kazi kweli kweli, sasa ndugu yangu unapiga tikitaka huku umevaa msuli, ulikuwa watarajia nini?........
 
Na bado, we acha waendelee kupiga kavukavu, watategwa sana na watajikuta hata wanaume watatu wanalea mimba moja, wote kila mmoja akitarajia mtoto ni wake lol! Fertility imekwenda juu sana lol!

jamani hawa wadada siku hizi wapo fertile sana maana wiki nzima watu wanasema wamemega mara moja tuu na bidada imo!!!
sasa naona wadada wanatutega vibaya sana
 
Na bado, we acha waendelee kupiga kavukavu, watategwa sana na watajikuta hata wanaume watatu wanalea mimba moja, wote kila mmoja akitarajia mtoto ni wake lol! Fertility imekwenda juu sana lol!

mie ndio maana nasema kila leo...respect women as our mothers and sisters but be very warry of them as life partners....full usanii...wanakulengeshea tuu mwanawane
 
Kila binadamu ni msanii, si umesikia jana kuna mtu kapost jamaa alimtegeshea akamjaza mimba sasa anavunja uchumba! So u better be careful. Ila ukiwa too wary hutaishi na partner - inabidi sometimes unakubali tu ile kwako kama najua kuna gains na wewe unazipata kwake lol!

mwe!!! ukikubali hilo basi ujue utakosa peace of mind....bora ata nikose papuchi kuliko peace of mind
 
Nawachukia sana watu wa namna hii, kwani hawa ndio wakati mwingine wa kuongezeka watoto wa mtaani. Hua roho yangu inaniuma sana ninapo pita Posta usiku wa manane na kuvikuta vitoto vimelala chini, hapo vingine vina bakwa, vingine havijala, huku mapumbavu kama haya yanayo jishauri kama mimba zao yamelala huko matumbo juujuu kama mafisadi

duh povu lote hilo karibu mirinda nyeusi basi upunguze jazba mwenzako anataka kujua tu mimba yake au?maana wamedo last thursday we umeshamuhukumu duh
 
Mwanaume hakubali kukosa papuchi ....sana sana ataenda kuitafuta popote pale ilipo lol!

labda wanaume uliokutana nao wewe....mie bwana papuchi napenda but not at the expense of my peace of mind.
 
naimani penye wengu hapalibiki jambo nakukana mimba si vizuri ila kukubali mimba isiyo yako ni vibaya kuna mwenzangu alhamis nilikutana naye bahati mbaya kinga ikapasuka leo hii ananipigia sm anasema anamimba yangu jamani watalaamu wa mambo ebu nisaidieni kweli inawezakana hii

Wewe itabid nikuombee, au nikutandike kwanza makofi?!
Au hio C ilikuwa na tube ndani?
 
mh! Mimba ya wk 1,anataka kufanya utapeli huyo! Yaan umpe pexa kwa ajili ya kulea mimba afu a2mie kwa ajil ya mambo yake.PIA INAWEZEKA AKAWA NA MIMBA YA M2 MWNGNE ILA ANATAKA KUKUCNGIZIA WW. B CAREFUL
 
unakubali ulipigaa>bas yako lea tuu kama ulivyoona tamu bas lea ..babakijachooooooooooo
 
nenda naye kwa daktari bingwa wa akina mama afanye vipimo vya ukweli kuweza kuibaini mimba hiyo ina umri gani, ni hapo tu utakapoweza kujihakikishia kama ana mimba yako au uliongezea kuirutubisha ya mwenzio.....Tahadhari: hakikisha unampeleka kwa daktari asiye chaguo lake (yaani wewe ndiye uchague hospitali/daktari wa kuonana naye....
 
Jibu mnalo nyie wawili, kutuuliza sie ni kutuonea tu..
Wewe mwenyewe unakiri mpira ulipasuka, tukusaidieje sasa?
Mimba sio ugonjwa bana acha kuwa muoga kiasi hicho, kwani mtoto wa shule huyo?
Hongera zangu kwako kwa kuwa baba mtarajiwa!!...

nimependa hii coment, kweli wewe mkomavu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom