Msaada

2arira

Member
May 26, 2014
8
20
Nduguzangu mambo niaje? Samahann naombeni mnisaikitu kimoko, utafanyaje endapo ukiwa unajaza form ya mkopo wa chuo na kabla huja maliza kujapa ikagoma kuendelea kufunguka page nyingne ili ujaze?
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,133
1,250
Nduguzangu mambo niaje? Samahann naombeni mnisaikitu kimoko, utafanyaje endapo ukiwa unajaza form ya mkopo wa chuo na kabla huja maliza kujapa ikagoma kuendelea kufunguka page nyingne ili ujaze?

Daa elimu yetu hii !

Hata kujieleza unashindwa !

Na ndo unataka kwenda Chuo kikuu Tanzania !

Lmao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom