Smartbrain
Senior Member
- Mar 23, 2013
- 184
- 35
Jaman naombeni msaada kunamtu nataka nijue yuko wapi simu yake inaita tu ila haipokelewi . noaomben msaada nawezaje kujua yuko wap kwa kutumia namba yake ya simu.
haiwezekani unless ushirikiane na service provider
Sio kweli, labda kama hatumii android. Ipo application ya kujua mtu alipo anapompigia simu au anapokupigia simu, location inaonekana kutokana na mahali mnara uliupo.