Kinagu ubaga = ni kuelezea or kusema kitu or vitu kwa ufasaha! Or maelezo yanayotosheleza or to disclose something!
Eg: Alimuhadithia mambo yote kinaga ubaga!!!
...
Kinaganaga sidhani kama ni kiswahili sanifu!
But inamaana ya Zigzag or Tirigivyogo!
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us