Msaada

Msaada

twijuke

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
547
Reaction score
252
Poleni na majukumu wapendwa. Nahitaji msaada, nahitaji jinsi ya kupata habari za Itv kwenye YouTube. Wao huwa wanasema unaweza kufuatilia habari zao kwenye WWW.youtubu.com/itvtz, mfano nahitaji taarifa ya Jana nafanyaje?
 
Kwanza umefika na kujaribu kama ulivyoelekezwa au umeamua kujaza server tu
 
Watch from here,vipi unataka kufuatilia american general "erection"
 
Back
Top Bottom