mcubic JF-Expert Member Mar 3, 2011 10,306 6,514 Oct 5, 2012 #1 Nina blog, nahitaji kuwa na icon ya JF kama ile ya Facebook na Twitter ili niweze kushare directly what i post na wanaJF...Nifanyeje?
Nina blog, nahitaji kuwa na icon ya JF kama ile ya Facebook na Twitter ili niweze kushare directly what i post na wanaJF...Nifanyeje?
N Nyasiro JF-Expert Member Feb 20, 2012 1,200 551 Oct 6, 2012 #2 hili ni gumu kufanyika sidhan kama JF kwa sasa inaruhusu post mpya kuanzishwa bila kupitia JF. Ni lazima blog yako iwe na mawasiliano na JF database kwanza yaani atambulike anayepost ni nani, head ya topic yake, anapost jukwaa gan n.k.
hili ni gumu kufanyika sidhan kama JF kwa sasa inaruhusu post mpya kuanzishwa bila kupitia JF. Ni lazima blog yako iwe na mawasiliano na JF database kwanza yaani atambulike anayepost ni nani, head ya topic yake, anapost jukwaa gan n.k.
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Oct 6, 2012 #3 wanakuja akina C6 i hope watakushauri vizuri tu! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016