msaada

msaada

Zimeisha lini tena
Juzi kati kuna jamaa yangu kainunua mlimani city
 
kama bado zipo ni stock ya zamani sasa hivi wameshatoa vodacom E303 haichakachuliki kwa unlock code inachakachulika kwa ku update firmware
 
Nasikia zimepanda bei baada ya watu kuzigundua udhaifu wake. Wanauziana kimya kimya kama madawa vile.
 
hata za airtel zte mf190 zinachakachulika kirahisi...
 
Back
Top Bottom