msaada

sasa mkuu utaingia aje jukwaa la dini wakati umetoka jukwaa la wakubwa?.mpm invisible amueleze shida yako atakusaidia. Mia
 
sasa mkuu utaingia aje jukwaa la dini wakati umetoka jukwaa la wakubwa?.mpm invisible amueleze shida yako atakusaidia. Mia

mkuu jukwaa la wakubwa ndo lipi hata cjuî lipo wapi!
 
Dah.....katika jukwaa ambalo sijawahi hata kulifikiria ni hilo la dini, huwa nahisi kuna mabishano mengi sana na mabezo yasiyo tija! Anyways....tafuta ufunguo best, mwambie invisible akugee!
 
Dah.....katika jukwaa ambalo sijawahi hata kulifikiria ni hilo la dini, huwa nahisi kuna mabishano mengi sana na mabezo yasiyo tija! Anyways....tafuta ufunguo best, mwambie invisible akugee!

Alafu we Kipipi we haya tu!
 
Judgement......vipi tena ndugu! Kuna kibaya nimefanya? Mbona wanisemesha kwa manung'uniko?
 
Last edited by a moderator:
Dini google biblia ya kiswahili wakati unaendelea kusubiria.
 
bible ninayo ila huwa napenda kujifunza meng na kupata changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…