Naombeni msaada namna ya kujua mtu anayetumia hii namba +255 22 222 1500 maana imekuwa ikinipigia nikiapokea anakata sasa ni miezi miwili.
Hadi nimeingia na wasiwasi huyu ni nani na kwanini anafanya hivi.
Nikijaribu kupiga simu haiendi ila ananipigia kwa wiki mara 3 sasa nikipokea haongea na anakata.
Naombeni msaada
Leo imeongezeka nyingine +255 22 222 1506
Imenipigia marambili napokea haongei anakata