Msaada

Msaada

Wakwetu03

Senior Member
Joined
Sep 15, 2010
Posts
197
Reaction score
87
Jamani naomba msaada kwa anayewajua/anamjua wataalam/mtaalam wa ku unlock simu kutoka marekani.Nimekutana na mafundi wengi wanasema wanaweza kutoa lock lakini network itakuwa haisomi.Kwa anayejua fundi anayeweza kutoa lock na network kusoma anisaidie plz.Natanguliza shukran zangu
 
Aisee!!!!! yaani kama hadi huku nimeshindwa kupata wataalam nadhan sitapata sehemu ingine yoyote
 
Umeipata wapi hiyo cm? Nani kailock? Umenunua ya wizi eeeeee, imekula kwako!
 
Jamani naomba msaada kwa anayewajua/anamjua wataalam/mtaalam wa ku unlock simu kutoka marekani.Nimekutana na mafundi wengi wanasema wanaweza kutoa lock lakini network itakuwa haisomi.Kwa anayejua fundi anayeweza kutoa lock na network kusoma anisaidie plz.Natanguliza shukran zangu

Mkuu kabla huja saidiwa hebu wasaidie kwanza wenzako kujua shida yako ili wawe kwenye nafasi nzuri ya kukusaidia na wewe.
Hiyo simu haina jina na model yake?
Je ukiweka sim card inaleta ujumbe gani? Una maanisha nini unaposema wanaweza kutoa lock lakini network haita kamata?
 
Back
Top Bottom