Msaada

Msaada

wewe piga hivyo hivyo.
Condom zimepanda bei. Pambaneni na hali zenu kiugumu ugumu
 
niwe muwazi hata mimi nikimkuta muuzaji mdada mrembo kama wewe kuropoka huwa siwezi... Huwa nasema naomba ile dawa yetu ya kitandani.
Ila akiwa wa kiume sinaga shaka.
Hii inatokeaga pale ambapo anaekuuzia condom ni mzuri kuliko unaeenda kutumia nae...
Kisaikolojia unamtaman at least ukitoka kumtafuna uliemwacha rum uje kumtongoza anaekuuzia condom, sasa aibu inakuja hv, utaanzia wap na umeshamthibitishia unaenda kula mzigo mwingine?
Wazee wa dilemma tumekuelewa mzee wa trouble
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom