Msaada

Msaada

kush moker

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2016
Posts
579
Reaction score
367
Kwema wakuu,,
Nahitaji kamsaada kadogo hapo pichani niweze kuziona apps/software maana baada ya kuja hivyo vi 'menu' nilivyovizngushia duara nashindwa kuupenda mwonekao w pc

NB;sina utaalamu wa computers.msinicheke
IMG_20190322_232921_937.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwema wakuu,,
Nahitaji kamsaada kadogo hapo pichani niweze kuziona apps/software maana baada ya kuja hivyo vi 'menu' nilivyovizngushia duara nashindwa kuupenda mwonekao w pc

NB;sina utaalamu wa computers.msinichekeView attachment 1052164

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ni windows 10 tablet mode kama sijakosea.

Nenda upande wa kulia chini kuna kialama cha notification click hapo kuna menu ndogo itatokea kisha click tablet mode itaondoka.

images
 
Back
Top Bottom