MSAADA

MSAADA

Cost ya kuipata hiyo app full mode uwe na $49.9 hapo uhakika wa kutolewa iCloud ni 25% it's ur choice kusuka au kunyoa
2019-03-10%2008.31.28.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usiwe nyuma kiasi hicho iphone sasa hivi zinafunguliwa kiurahisi na kuna njia nyingi ila simple ni hizi mbili
1.kwa kutumia 3UTOOLS UNLOACK.
2.kwa kutumia IMYFONE LOCKWIPER.
Mtoa mada kama unajiongeza utazifuatilia hizo apps siwezi kuweka maelezo yoyote hapa juu sijui hiyo simu umeipataje.
Na IMEI yake? Wewe unataka mwenzako akazeekee Jela.
 
Na ndiyo maana nikaweka apps tu na sio maelezo juu sijui ameipata vipi hiyo device kama ni ya wizi atakamatwa ila kama si ya wizi pia zitamsaidia kuifungua.
Na IMEI yake? Wewe unataka mwenzako akazeekee Jela.
 
Naombeni kujua hivi Mtu akisema "Iphone Icloud". Imepo locked


Ina maana gani kwenye IPHONE


Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Iphone ni ya wizi! ushauri achana nayo na wala isije weka line yako.utakuja ukamatwe upate kesi za ajabu ajabu.....kuna dogo alinunuaga simu...akaja kukamatwa nayo...mwenye ile simu aliuwawa na pesa pamoja na Pisto (bunduki) vilichukuliwa pamoja na hiyo simu....wale police walimwambia kuwa simu zawadi yake wao wanataka ile bunduki tu,na pia aseme mwili wa marehemu ilipo!!!!...So kuwa makini ndugu... kwa miaka hii usipende nunua vifaa vya kielectronics mikononi...itakucost
 
Back
Top Bottom