MSAADA

MSAADA

Mshaiba simu ya mtu...

Inachomaanisha ni kuwa hiyo simu kuna mtu ashafungua account ya security na storage na haiwezekani kuibypass
 
Naombeni kujua hivi Mtu akisema "Iphone Icloud". Imepo locked

Ina maana gani kwenye IPHONE

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni boksi tu.. Hauna tena access hapo MRUDISHIE MWENYEWE AU itelekeze boya aiokote afungwe..

Huwez kuuza part ya iphone maybe kioo na mara nyingi ni very cheap.. So mtu anauwezo aka afford new one..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hilo ni toy tu kwa sasa.au rudisha kwa mwenye nayo akupe dhawadi
 
Iweke dirishani kama show ndugu haina kazi hiyo au ifunge kamba umpe mtoto aiburuze chini kama kigari tuu hamna namna
 
Naombeni kujua hivi Mtu akisema "Iphone Icloud". Imepo locked

Ina maana gani kwenye IPHONE

Sent using Jamii Forums mobile app

icloud ni mfumo wa usalama wa iPhone ambao unaweza kuifunga simu yako kiasi kwamba mtu mwingine hatoweza kuitumia bila kuwa na taarifa sahihi za account hiyo husika ya iCloud. kifupi tu iCloud ni noma kama ilifungwa na mtu ambaye huwezi kumpata ndio basi tena
 
Mkuu usiwe nyuma kiasi hicho iphone sasa hivi zinafunguliwa kiurahisi na kuna njia nyingi ila simple ni hizi mbili
1.kwa kutumia 3UTOOLS UNLOACK.
2.kwa kutumia IMYFONE LOCKWIPER.
Mtoa mada kama unajiongeza utazifuatilia hizo apps siwezi kuweka maelezo yoyote hapa juu sijui hiyo simu umeipataje.
Hilo ni boksi tu.. Hauna tena access hapo MRUDISHIE MWENYEWE AU itelekeze boya aiokote afungwe..

Huwez kuuza part ya iphone maybe kioo na mara nyingi ni very cheap.. So mtu anauwezo aka afford new one..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji4][emoji4]Hapa naanza ona njia mkuu
Mkuu usiwe nyuma kiasi hicho iphone sasa hivi zinafunguliwa kiurahisi na kuna njia nyingi ila simple ni hizi mbili
1.kwa kutumia 3UTOOLS UNLOACK.
2.kwa kutumia IMYFONE LOCKWIPER.
Mtoa mada kama unajiongeza utazifuatilia hizo apps siwezi kuweka maelezo yoyote hapa juu sijui hiyo simu umeipataje.
 
Labda ku Bypass primary passcode na sio iCloud..

usinifanye nicheke mkuu hizo apps nilizoweka ni kwamba zina bypass icloud na sio passcode au unadhani sijasoma uzi mpaka mwisho .
Ila shida ni moja kwamba ata lose data za awali zote kwa kuwa procedure moja wapo ni kupiga firmware mpya .
[emoji23][emoji23] watu mpo dunia ipi?
 
Kubishana sana siwez.. Umetoa iCloud ngap? Wanaobahataik kutoa iCloud mala nying ni by guessing passcode

umerudia kusoma post yangu ya awali nimesema siwezi kuweka maelezo mengi nimeweka apps fuatilieni fanyeni experiment na iphone iliyokuwa locked kisha mje na mrejesho hapa .siwezi sema kila kitu mkuu .
Kubishana sana siwez.. Umetoa iCloud ngap? Wanaobahataik kutoa iCloud mala nying ni by guessing passcode

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Review...
Screenshot_2019-03-10-08-18-34.jpeg
Screenshot_2019-03-10-08-21-21.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom