Msaada !!!

Msaada !!!

Therapist 2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2018
Posts
790
Reaction score
833
Wakuu pole na majukumu ya kila siku!!moja kwa moja kwenye mada, account ya fb upande wa messenger, haikoneti internet kwa wiki sasa.ikiingia message naiona lakini kurespond inagoma maana inaandika waiting for internet wakati simu inasoma 4G

Kwa wale walio wahi kuexperience hichi kitu naomba msaada na kwa wale waofahamu wameelewa tatizo langu waweza kunisaidia!!!



Natanguliza shukhrani kwenu wakuu!!!
IMG_20181113_203917.jpg
 
Nakushaur futa hiyo app na dowload ingine au jarib kuaupdate inawezekana haijaipdatiwa kwa mda mrefu inaweza pelekea kiwa hivo... Pia zima na kuwasha simu yako mara kdahaa au restart au reboot Ilishindkana hapo fanya kuiresto tu au kufulash maana itakuwa hamna namna.
 
Au clair data ktk hiyo app itajianza upya na inaweza kuwa poa
 
Back
Top Bottom