Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,591
- 14,375
Naomba nielekezwe sehemu ya kudownload app ya JF natumia simu ya Microsoft Lumia(window phone)
asee waje watusaidie bhana, namimi pia natumia Microsoft lumia, ila nimeshaichoka sababu nakosa mambo mengi sanaNaomba nielekezwe sehemu ya kudownload app ya JF natumia simu ya Microsoft Lumia(window phone)
Watengenezaji wa hizi mambo pia washachoka ni nyie tu mnakomaa na hizo window, daka tecno yako safi kabisa maisha mepesi heheheasee waje watusaidie bhana, namimi pia natumia Microsoft lumia, ila nimeshaichoka sababu nakosa mambo mengi sana
HaaaaaWatengenezaji wa hizi mambo pia washachoka ni nyie tu mnakomaa na hizo window, daka tecno yako safi kabisa maisha mepesi hehehe
Hapo hakuna kitu cha app wala nini sababu hawa microsoft wana apps zao na playstore hivyo Melo adevelop ya kuwauzia microsoft.Naomba nielekezwe sehemu ya kudownload app ya JF natumia simu ya Microsoft Lumia(window phone)