Msaada

McNair

Senior Member
Mar 18, 2017
182
130
Wasalaam...
Niende moja kwa moja kwenye maada:

Naomba kuuliza kuwa "Asiatic Moslems" wanaitwaje katika lugha yetu adhimu ya kiswahili?

Lengo si lingine bali ni kutaka kujifunza na pia zaidi nahiji neno hilo kulitumia katika maandiko yangu.

Nawasilisha wakuu.
 
Back
Top Bottom