Msaada!

Kama the bold and the beautiful yule Brooke, mi naona utakosa ukaribu na ndugu yako aliyekuwa na uhusiano na huyo mkaka, ila kama hawakufikia ndoa nafikiri hakuna kipingamizi zaidi ya roho yako kukusuta tu
 
miss shantel!
sred inasema kuna maridhiano! sasa ubaya uko wapi?
 
Kloro 1. walioachana walikua pamoja kwa mwaka mmoja na imepita miwili tangu waachane.2. Mdada alijikuta hana mapenzi na mshkaji tena akamwacha! 3. Wadada mmoja alikulia kwa wazazi mwingine kwa bibi..ila wako karibu.4 .Mila zetu za kibongo na 5. Hapana!
 
Ahh dearest..ndo maana nakupenda ujue!Sasa uko tayari kua maid of honour?
 
Wewe ungeamua lipi dada? inawezekana Lizzy akapata msaada kama alivyoomba.

Mimi ningeamua tofauti na walivyoamua wahusika. Lizzy kasema wahusika wameridhia. Sasa kama wameridhia kwa nini mimi niwe na tatizo wakati maisha ni yao?

Mimi si mnywaji wa pombe. Natumaini hata wewe unajua madhara yake. Lakini kwa vile mimi si mnywaji haina maana Babu Aspirin na troupe lake wasinywe valuu. Kwanza wanatumia hela zao, na pili, ili mradi wakinywa hawahatarishi maisha ya wengine basi acha wanywe hizo valuu zao.
 
huyu lizzy askusumbue bana! huyu ananimind lakini anaogopa kuniambia, sasa anazunguka zunguka tu.

Loh!Haya ngoja nijitoe mhanga!Kloro nakuzimia..nisipoona post zako sichangamki..usipoquote zangu silali..usiponigongea senksi nanuna na ukiwagongea wengine nalia!
 
Kloro 1. walioachana walikua pamoja kwa mwaka mmoja na imepita miwili tangu waachane.2. Mdada alijikuta hana mapenzi na mshkaji tena akamwacha! 3. Wadada mmoja alikulia kwa wazazi mwingine kwa bibi..ila wako karibu.4 .Mila zetu za kibongo na 5. Hapana!
masuali ya mwisho ambayo ni muhimu kuliko yote.
1)hayo maridhiano hayana unafiki au kuoneana aibu ndani yake?
2) baina ya wadada 2 ni nani aliemuapproach mwenziwe kuhusiana na hii issue. alieachana na mkaka au anaetaka kuanzisha penzi na mkaka.

afazali sku hizi umekuwa serious kidogo.
 
Kama the bold and the beautiful yule Brooke, mi naona utakosa ukaribu na ndugu yako aliyekuwa na uhusiano na huyo mkaka, ila kama hawakufikia ndoa nafikiri hakuna kipingamizi zaidi ya roho yako kukusuta tu

Haya mama..ngoja nianze kuchagua rangi za harusi!
 
Heee kumbe kloro ni sharobaro sikuwa na fahamu, thanks 4 the alert sisy Michelle.

ukihitaji kufahamu/kujua lolote kuhusu Kloro niambie....ndo mtu pekee namfahamu/mjua vizuri hapa JF.....you are welcome dear :juggle:
 
Ahh dearest..ndo maana nakupenda ujue!Sasa uko tayari kua maid of honour?

jamani Lizzy,ni heshima kubwa sana dearest wangu....kwa moyo wangu,akili yangu na mwili wangu nitakubali kuwa maid of honour....sema lingine....!!!!
 
masuali ya mwisho ambayo ni muhimu kuliko yote.
1)hayo maridhiano hayana unafiki au kuoneana aibu ndani yake?
2) baina ya wadada 2 ni nani aliemuapproach mwenziwe kuhusiana na hii issue. alieachana na mkaka au anaetaka kuanzisha penzi na mkaka.

afazali sku hizi umekuwa serious kidogo.

1.Hata chembe! 2. Aliyeachana maana ndiye aliyejulishwa na ex! Mwisho nimekua siriaz ili nisifanane na mtu fidenge!
 
hehehe huku PM anaomba razi. michelle bana!

WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.

onyesha hiyo PM.....ha ha ha Kloro bana....sheria za JF haziruhusu kutoa siri za PM :lol::lol:
 
Loh!Haya ngoja nijitoe mhanga!Kloro nakuzimia..nisipoona post zako sichangamki..usipoquote zangu silali..usiponigongea senksi nanuna na ukiwagongea wengine nalia!
good girl! kodi yako ya nyumba mwezi huu nitalipa mimi. na kahela ka saloon pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom