Yani mshkaji kamwambia mdogo mi nampenda dada yako na akikubali ntamuoa.Mdogo mtu hana tatizo ila anashangaa kama hawataonekana wa ajabu!
Mmh and what did you get?Hata dada yangu naweza kumuombea mchango ujue!
Ahh dearest..ndo maana nakupenda ujue!Sasa uko tayari kua maid of honour?Mmmh sidhani.Kuna watu wakiacha wameacha..mshkaji alishabembeleza sana warudiane akakataa!