Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,234
- 3,542
Hapa Juzi lap top yangu aina ya mac book pro inch 13 with retina display katika hali isiyoeleweka imetoa michirizi ndani ya screen hali iliyosababisha kutoonekana vema. Lap top hiyo haina crack yeyote juu ya screen.
Naomba mwenye msaada aje hapa tafadhali.
Natanguliza shukurani zangu za dhati kwenu nyote.
Naomba mwenye msaada aje hapa tafadhali.
Natanguliza shukurani zangu za dhati kwenu nyote.